Michirizi ya Damu

Story nzuri sana, nimeburudika na nimejifunza mengi. Zaidi umenifurahisha kwenye hitimisho baada ya Fareed kufa kwa kansa, umeimaliza vzr maana kama asingepata madhara yoyote basi kuna watu wangeshawishika kupita njia alizopita Fareed kwakuhisi huenda wangeibuka na Bingo kama la Fareed! Hongera sana kwa mtunzi na Shunie.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…