Michezo Yao Hawa Jamaa Aisee

Michezo Yao Hawa Jamaa Aisee

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,932
IMG-20180529-WA0003.jpg
 
Mzee ukiwa na mtoto tena haswa wa kiume haya mambo hayaepukiki.Kuna wanao tafuta mpaka kupata wapi bastola za baba zao zilipo.Halafu anacheza nayo ki Van dame
 
Hii uliyosema mkuu ni kweli kabisa.Wakati tunakua miaka ya 1980 mwishoni kuna mwenzetu mmoja ashawahi kufanya hili tukio lililochukua uhai wake kwa kujipiga risasi.

Alinunuliwa toy la bastola na baba yake.Ilikuwa siku moja baada ya mwaka mpya,aliingia chumbani kwa baba yake na kuchukua bastola halisi na kuanza kuichezea kama lile toy lake.Na umauti ukamfika.

Mdogo wake ni mtangazaji wa kituo kimoja cha redio nisingependa kumtaja jina.
 
Duh, imenikumbusha kuna siku nilikuwa nimeenda kazini. Nyumbani hakuna mtoto wala nini, nimenunua kitu changu cha Samsung 46 inches nimekiweka chumba cha wageni.

Basi katika kufunga miguu ile imekaa kama v za antennae, huku miwili, kule miwili, yote kutoka kati, nikaona kama haijakaa sawa. Kamaimekaaupande hivi.

Nikawa naiweka sawa, naiweka sawa, ikawa kama naharibu zaidi.

Nikasema ngoja niiache, kesho nitaitafutia muda niitengeneze isimame vizuri.

Kesho yake nimeenda kazini, nimerudi home, nakuta kitu kimeanguka chini kwenye zulia.

Nikajua salaaaale, nishakosa TV. Nikainyanyua kuiangaliakama imevunjika, haijavunjika.

Nikasema hii bila shaka haiwaki tena.

He, kuiwasha, inawaka bila chenga wala mawenge.

Mpaka leo ile TV ninayo chumba cha wageni.

Nikaiheshimu sana Samsung katika ku absorb shock. Upande wa juu ulipiga chini, salama yangu kuna zulia halafu hakukuwa na kitu kingine.
 
Una bahati mkuu.

Kama ingefikia kwenye tiles basi hiyo 46 inches ingekuwa 0 inch.

Hahahah.
 
Mzee ukiwa na mtoto tena haswa wa kiume haya mambo hayaepukiki.Kuna wanao tafuta mpaka kupata wapi bastola za baba zao zilipo.Halafu anacheza nayo ki Van dame

Hahahah. Lol.
 
Back
Top Bottom