Michezo ya utotoni ambayo siku hizi haipo

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,382
10,840
Naikumbuka michezo ya:
A: Kutengeneza manati na kuwinda ndege porini,kuku wanaodonoa mahindi au unga uloanikwa nk, shabaha ilikuwa Sifa muhimu kwa mmiliki wa silaha hii, walioishi kwenye ngedere manati yalifaa sana kuwafurusha tumbiri wala mazao kv mahindi na mpunga.
B: Kuunda magari ya waya yenye uwezo wa kupakia hadi kilo mbili, malighafi ilikuwa ni waya za Tanesco au ttcl,mipira,fimbo yaani sterling rod,Bomba yaani deaf na makandambili( ya Umoja ndo yalikuwa imara) usiweke Tairi za Bora sio imara.
C:Kidali poo, sikucheza sana Sina details zake
D:Kibabababa na kimamamama hapo namkumbuka Mke wangu wa utotoni Khadija Mtengela(imagery ), tulilichukulia kwa uzito ingawa ni utoto
E:Kushona makambakamba vidoleni na kuyachezesha kwa mitindo mbalimbali,huu walicheza sana wadada.
F: Falsafa ya ujamaa ulikuwa mchezo muhimu sana, kwamba ukija na kimbama,kisheti,gimbi au muwa marafiki zako lazima wapate.
G: Mkitoka Shule aliekuzingua skuli asiombe mvuke mpaka wa Shule muingie uraiani hapo ni ngumi tu na kabla hamjaanza unachorwa mstari atakaeanza kurusha ngumi anapata pointi ya ubabe kwa mwenzake...Basi ilikuwa ni vitisho " subiri kengere igonge utanijua labda ubadili njia..." Mkikutana mkazikunja utasikia "anza wewee anza wewe..."
H: Mchezo wa kuzungusha pia. Tuliicharaza mijeredi inazunguka hadi inatoa mlio,sanaa yake ya kipekee
I:Kupuliza kimhwepelo , unabana viganja vyote na kuvielekeza mdomoni kisha unapuliza kupata milio mizuri
J: Kuzungusha magurudumu...Hapa kuna categories wababe walizungusha ya Pigeot 504 au Hilux Datsun, wa kati Tairi ya pikipiki wadogo walikimbiza malingi ya baiskeli kwa kutumia spoko maalum ambayo inakunjwa Fulani na kulipa lingi mwendo kasi huku mwenyewe unalifukuza balaa
K:Tuliunda pikipiki zinazotoa mlio kwa kutumia makopo ya Dawa ya mlazo
L:Kuna wachache walipenda sana kucheza Yale mambo yetu sie tuliita 'wanafanya uchafu' au ' wanafanya matusi_' wapenzi wa mchezo huu walikuwa hawapendi kujichanganya wao zao machakani
M: Tulicheza kwa Makundi makubwa na tuliagana kwa kombolela kitakaekulalia kesho utaanzisha game
N: Soka chandimu tulikuwa vizuri zaidi tulipenda danadana,zubaisha bwege na gombania goli
O: Pool sie tuliicheza tena sio asubuhi kwamba sirikali itatukamata mmh tukitoka Shule wenyee tuliita ndula
P: Mchezo wa kujipikilisha

We unaukumbuka upi maana siku hizi video games zimefuta ubunifu vijana wadogo hata tiara wanachezea kwenye PC , utoto ulinoga sana...kosa kubwa ilikuwa kula kwa watu...ONGEZA
 
Mchezo wa goroli. Tulicheza sana miaka ya sitini lakini mchezo huo ulianza kufifia miaka ya sabini. Sijui kama bado upo.
 
Dah siwezi kuisahau Chudo (mchezo kurusha goroli kwenye shimo na kugonga goroli ya mwenzio na kuwa mali yako), pikipiki za mabetri ya NATION na makoa (mawaya manene ya mabati ya kushikilia rinter za nyumba), bibi kajabwela, namtafuta mke wangu ukimpata ndo anakuwa wako kiukweli ukweli (ila mi sikuwahi kubahatika kumpata), kuzamia kwenye shughuli za misiba na sherehe kwenda kugonga mnuso (ubwabwa) na mengine mengi, kupiganisha mawe kufuatisha yanayofanywa kwenye movie za kizungu (hapo kuna steringi ambae ni jiwe gumu kuliko yote na majambazi ambao ni mawe ya udongo) hakika nazikumbuka zile nyakati
 
Hakika vitu hivyo vilitukuza vyema kweli na kiujamaa lkn watoto wasiku hizi hawana habari na mambo hayo wao zao ni ps tu
 
Hiyo ya kujificha umenikumbusha wake zangu wa zamani mwanamisi na halima pale mirerani enzi hizo ilikua raha kweli
 
Kujipikilisha kwenye njeka zile.... Nilikua naiba mafuta,chumvi n.k tunaenda kujipikilisha. Maza akija nakula kibano cha haja kesho yake tena narudia
 
hahahah sasa cheza afu ule chakula kwa watu ndo utaeleza kwa nin kishingo hutaga mara kwa mara
 
Hakika vitu hivyo vilitukuza vyema kweli na kiujamaa lkn watoto wasiku hizi hawana habari na mambo hayo wao zao ni ps tu
Na smatifoni,mtoto ana mwaka mmoja tayari anajua gemu ya simu lazi kweli
 
mi nakumbuka tu mchezo ule wa kugusishana, nilikuwa mhogo naugusisha kwenye vikojoleo, mhogo wenyewe haukuwa umeanza kusimama tunaburuzisha tu pale kwenye mpasuko hakuna kishimo hatuingizi. siku nilipofika kumi na tatu years, nikamkuta mmoja naye alikuwa na kumi na mbili kumi na tatu hivi, kumvua vyupi na kumshika kunako nikaona mautelezi mengiiii,..hadi nilitaka kuogopa. kuingiza anasema anaumia tukaburuzisha juu kwa juu mwishoni nikaingiza...duh, nilionaje umotomoto kwa mara ya kwanza.....hahaha. nilijojolea na sitasahau raha niliyoiona for the first time.
 
Back
Top Bottom