Namba9Wakuu mimi ni mtanzania nilie bahatika kuishi England hapa ulaya kuna kitu au michezo ya bahati nasibu inaitwa national lottery hii michezo kiukweli iko na pesa mingi ukibahatika unapiga mkwanja wa maisha sasa basi mbongo mie na hitaji sana kupiga ma milioni ya pound kupitia michezo hii ili nije kuwekeza tz nchini kwangu sasa kama kuna mtu mwenye kuona mbali naomba anitazamie ni namba zipi naweza kutumia kupata huu ukwasi wa Mwingereza kibaya zaidi wakijua wewe ni mgeni mtoka nje hawakuruhusu kufungua accaunt mie naitumia jina ya wife make ye mzaliwa huku naombeni wataalamu wa mambo mfanye jambo ili tupige pesa tuje kuwekeza makwetu asanteni
Kazi nafanya Kinoma ndio maana nina pesa ya kuweka bet pesa ya kufanya kazi haiwezi kukufanya utoke Coz maisha ulaya yako juu kuliko uzaniavyoPambana ila fanya na kazi nyingine za kukuingizia kipato. Mwanaume kazi, tuwakilishe vyema huko England sio ubeti tu.
Kila la heri Mkongo.Kazi nafanya Kinoma ndio maana nina pesa ya kuweka bet pesa ya kufanya kazi haiwezi kukufanya utoke Coz maisha ulaya yako juu kuliko uzaniavyo
Unaishi kiharamu wewe. Kama uko kihalali ungeweza kufungua account. BTW unajua chances za kushinda bahati nasibu?Kazi nafanya Kinoma ndio maana nina pesa ya kuweka bet pesa ya kufanya kazi haiwezi kukufanya utoke Coz maisha ulaya yako juu kuliko uzaniavyo
Naishi kihalali isipokua ubaguzi washenzi hawa wakijua tu mtoka nje mweusi wanakuwekea vizingiti unatuma documatation zote lakini wanagoma wa nakwambia subilia kwa muda fulani hawatimizi ukiulizia unambiwa subilia ubaguzi sanaUnaishi kiharamu wewe. Kama uko kihalali ungeweza kufungua account. BTW unajua chances za kushinda bahati nasibu?
Basi ni sheria iko hivyo na siyo ubaguzi. Unaposema ''wakijua tu mtoka nje mweusi wanakuwekea vizingiti'' ina maana kuwa ukiwa mweupe na umetoka eg USA watakubali kama vigezo vya ukaaji viko sawa na vya mtu mweusi? Sidhani! Uingereza hawawezi kuwa na sheria ya kibaguzi namna hii. Ni inferiority complex zako tu ndiyo zinakufanya useme hivyo na siyo kweli kuwa ni ubaguzi kwa watu weusi.Naishi kihalali isipokua ubaguzi washenzi hawa wakijua tu mtoka nje mweusi wanakuwekea vizingiti unatuma documatation zote lakini wanagoma wa nakwambia subilia kwa muda fulani hawatimizi ukiulizia unambiwa subilia ubaguzi sana
Niamini mimi nikuambiacho mkuuBasi ni sheria iko hivyo na siyo ubaguzi. Unaposema ''wakijua tu mtoka nje mweusi wanakuwekea vizingiti'' ina maana kuwa ukiwa mweupe na umetoka eg USA watakubali kama vigezo vya ukaaji viko sawa na vya mtu mweusi? Sidhani! Uingereza hawawezi kuwa na sheria ya kibaguzi namna hii. Ni inferiority complex zako tu ndiyo zinakufanya useme hivyo na siyo kweli kuwa ni ubaguzi kwa watu weusi.
Unapesa ya kutibiwa ulaya wewe? Au una ulaya huku mbali na hapo ulaya unaingia day 1 to 7 wanakufosi ondokaUnasema umebahatika kuishi ulaya au ni sijasoma vizuri
Maisha ya bongo matamu kuliko huko
Huko tunakuja kutembea tu na kutibiwa tezi dume
[emoji16] [emoji16] Njoo wazungu wenye we wanabeti ije kua mimi mtoka nje?Mkuu,na mimi niunganishie kwa mzungu mmoja huko..nije tubet wote
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Sikuamini kwa sababu najua ni uongo. Kama kuna sheria inakataza usiwe na account mpaka ufikishe muda fulani wa kuishi, basi itakuwa ni sheria kwa wageni wote(may kutoka nje ya EU) na haiwezi kuwa sheria kwa watu weusi tu!Niamini mimi nikuambiacho mkuu
Ila wabongo bhana,yaani unatuuliza sisi tupo Africa,wewe upo huko huko haujui ufanye nini, dah!Wakuu, mimi ni Mtanzania nilie bahatika kuishi England hapa Ulaya kuna kitu au michezo ya bahati nasibu inaitwa national lottery.
Hii michezo kiukweli iko na pesa mingi ukibahatika unapiga mkwanja wa maisha sasa basi mbongo mie nahitaji sana kupiga ma milioni ya pound kupitia michezo hii ili nije kuwekeza tz nchini kwangu.
Sasa kama kuna mtu mwenye kuona mbali naomba anitazamie ni namba zipi naweza kutumia kupata huu ukwasi wa Mwingereza.
Kibaya zaidi wakijua wewe ni mgeni mtoka nje hawakuruhusu kufungua accaunt mie naitumia jina ya wife make ye mzaliwa huku naombeni wataalamu wa mambo mfanye jambo ili tupige pesa tuje kuwekeza makwetu, asanteni.