Kwa sasa kinachofanyika upande wa serikali ni kutengeneza mazingira ya kuwa na bargaining power kwenye kile kinachopangwa kuitwa muafaka/maridhiano/suluhu ya kitaifa.
Moja ya karata itakayowekwa mezani ni suala la serikali kuwaachia huru watuhumiwa wote wa uhaini hewa waliokamatwa kwenye maandamano ya MO29. Serikali itakubali.
Eti baada ya hapo watu waseme mama ana moyo wa huruma na nyenyenye nyinginezo. Niffer ametolewa kama chambo ili kuipa kesi mvuto.
Hili haliwezi kurejesha uhai wa ndugu, jamaa na rafiki zetu mliowauwa kwa makusudi. Hatutawasamehe kamwe, damu mliyomwaga italipwa kwa damu pia.