Ni kesi itakayoendeshwa kwa dana dana.Kwa hiyo serikali inapanga kunyonga hadi kufa vidada vilivyovaa madera na vijana zaidi ya 200?
Hapo washauriwe wote wakiri makosa yao yote waone serikali itakavyopoteana.
Tumekabidhi ofisi za umma kwa watu wajinga mnoo including Samia mwenyewe. Hawajui madhara ya hizo kesi kiuchumi na kidiplomasia. Kiutarii maanake unaiambia dunia kwamba nchi haiko salama, Rais anataka kupinduliwa au kuuawa...hivi ni nchi ya aina gani inakuwa na kesi 4 za uhaini kwa wakati mmoja?
Kwa hiyo serikali inapanga kunyonga hadi kufa vidada vilivyovaa madera na vijana zaidi ya 200?
Hapo washauriwe wote wakiri makosa yao yote waone serikali itakavyopoteana.
Script imesha andikwa tayari. Either way..nawashauri wakatae makosa, na wasiweke mawakili.
Kama hilo la kukiri makosa wote kwa pamoja haliwezekani, ni muhimu wafanya mgomo wa aina fulani. Uzuri wamerundikwa wote pamoja, ni rahisi kujiorganise wakiwa huko ndani. Wanaweza kuanza hata mgomo wa kula. Wale ni vijana, ujasiri ndiyo mtaji wao mkubwa. Kuna jinsi wanaweza kuushake mfumo wa kisheria unaoonekana kutumika kama njia ya kunyanyasa Watanzania...nawashauri wakatae makosa, na wasiweke mawakili.
Yanayotokea Sasa Yana anza kutuonesha picha tofauti ya Magufuli tofauti na tulivyo aminishwa ubaya au ukatili wake.Imenubidi niirejee hii (sehemu ya) hotuba yake JPM, tena na tena.
Anzia sekunde ya 19.
View attachment 3498760
Yanayotokea Sasa Yana anza kutuonesha picha tofauti ya Magufuli tofauti na tulivyo aminishwa ubaya au ukatili wake.
Huenda hakuhusuka utekaji ule mfano wa MO, labda alikuwa anahujumiwa makusudi.
Alikuwa jasiri kuhoji na kukemea utekaji katika video hii.
Tofauti sana na wengine hawakemei wala kuhoji kama vile wanahusika nayo. Nafikiri nao wanahujumiwa Ila hawajajuaSiamini hao no katili kiasi Cha kuteka na wengine kuuwa kiasi kile.