Hii ni michezo ya kijasiri, siku moja pale wet n wild katika ile slide inayoitwa Ze Kimbunga kidogo mambo ni kama hayo.
Lakini hii ya roller coaster ni kiboko, wengine wanatapika kabisaaa, maana hiyo spidi yake si mchezo 120 miles per hour, ni sawa na 192km/h ambayo hata ukiwa unaendesha gari yakupasa kuwa na moyo kuifikia. Sasa imagine uko kwenye kiti tu sa spidi ndo hiyo, lazima kukojoa. Check safety belts zake yaani ni bonge la chuma linafungwa hydrolically.