Ajira yao ndiyo hiyo mkuu. Unajua wenzetu huwa wanachagua specialization wakingali wadogo. Na hiyo specialization huifanya baada ya kuona uwezo wa muhusika. Sasa ukimwambia aache kucheza mchezo huo wakati umri umekwenda na anachojua ni mchezo huo tu unategemea afanye kazi gani?
Duwh alipona kweli huyo?? Maana pembe imezama kbs ktk haja kubwa na alikuwa anazidi kuizamisha... Mchezo mingne unaweza kuwa h.a.n.i.t.h.i. hivi hivi cz pembe akiishusha kwa chini anachana pumbu zote pamoja na dushe