Michezo magazetini leo...

Michezo magazetini leo...

Status
Not open for further replies.
Completed Games
Today's Games Week 1: 08/07/10 - 08/08/10 Week 2: 08/14/10 - 08/15/10 Week 3: 08/17/10 - 08/22/10 Week 4: 08/28/10 - 08/29/10 Week 5: 09/11/10 - 09/12/10 Week 6: 09/18/10 - 09/19/10 Week 7: 09/25/10 - 09/26/10 Week 8: 10/02/10 - 10/03/10 Week 9: 10/16/10 - 10/17/10 Week 10: 10/23/10 - 10/24/10 Week 11: 10/30/10 - 11/02/10 Week 12: 11/06/10 - 11/07/10 Week 13: 11/13/10 - 11/14/10 Week 14: 11/20/10 - 11/21/10 Week 15: 11/27/10 - 11/28/10 Week 16: 11/27/10 - 12/05/10 Week 17: 12/11/10 - 12/12/10 Week 18: 12/18/10 - 01/22/11 Week 19: 12/21/10 - 12/22/10 Week 20: 01/15/11 - 01/16/11 Week 21: 01/29/11 - 01/30/11 Week 22: 02/05/11 - 02/06/11 Week 23: 02/12/11 - 02/13/11 Week 24: 02/18/11 - 02/20/11 Week 25: 02/26/11 - 02/27/11 Week 26: 03/05/11 - 03/06/11 Week 27: 03/11/11 - 03/13/11 Week 28: 03/19/11 - 03/20/11 Week 29: 04/02/11 Week 30: 04/09/11 Week 31: 04/16/11 Week 32: 04/24/11 Week 33: 04/30/11 Week 34: 05/07/11 Week 35: 05/11/11 Week 36: 05/15/11 Week 37: 05/21/11 Week 38: 05/29/11​

Friday, March 11, 2011​
Week 27​

Route de Lorient
Expand
expandInfo.jpg


0 : 2
Final




Match Stats | Minute by Minute
Goals Loic Remy (24')
goal.gif

Lucho González (80')
goal.gif

yellow-card.gif
(28') Jerome Leroy
yellow-card.gif
(74') Victor Hugo Montano
Cards Souleymane Diawara (16')
yellow-card.gif

Stephane Mbia (38')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(57') Fabien Lemoine
redArrow.gif
Stephane Dalmat

greenArrow.gif
(62') Jires Kembo-Ekoko
redArrow.gif
Jerome Leroy

greenArrow.gif
(78') Abdoul Razzagui Camara
redArrow.gif
Victor Hugo Montano

Substitutions Jordan Ayew (71')
greenArrow.gif

Andre Pierre Gignac
redArrow.gif


Mathieu Valbuena (84')
greenArrow.gif

Loic Remy
redArrow.gif


Charles Kabore (90')
greenArrow.gif

Lucho González
redArrow.gif



Saturday, March 12, 2011​
Week 27​

Felix Bollaert
Expand
expandInfo.jpg


Lens
0 : 1
Final




Match Stats | Minute by Minute
Goals Federico Santander (75')
goal.gif

Cards Federico Santander (45')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(57') Kanga Akalé
redArrow.gif
Serge Aurier

greenArrow.gif
(57') Eduardo
redArrow.gif
Toifilou Maoulida

greenArrow.gif
(77') Gregory Sertic
redArrow.gif
Bedimo

Substitutions Fode Mansare (64')
greenArrow.gif

Franck Tabanou
redArrow.gif


Antoine Devaux (87')
greenArrow.gif

Etienne Didot
redArrow.gif



Auguste Bonal
Expand
expandInfo.jpg


0 : 2
Final




Match Stats | Minute by Minute
Goals Lisandro López (22')
goal.gif

Miralem Pjanic (64')
goal.gif

yellow-card.gif
(34') Modibo Maiga
Cards Jeremy Pied (67')
yellow-card.gif

Jérémy Toulalan (75')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(42') Cedric Bakambu
redArrow.gif
Maxime Josse

greenArrow.gif
(67') Loic Poujol
redArrow.gif
Carlao

Substitutions Jeremy Pied (62')
greenArrow.gif

Lisandro López
redArrow.gif


Clement Grenier (80')
greenArrow.gif

Jérémy Toulalan
redArrow.gif


Maxime Gonalons (81')
greenArrow.gif

Miralem Pjanic
redArrow.gif



Geoffroy-Guichard
Expand
expandInfo.jpg


2 : 0
Final




Match Stats | Minute by Minute
 
Municipal du Ray
Expand
expandInfo.jpg


1 : 0
Final




Match Stats | Minute by Minute
goal.gif
(62') Eric Mouloungui
Goals Cards Amadou Sidibe (6')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(65') Abdou Traore
redArrow.gif
Chaouki Ben Saada

greenArrow.gif
(77') David Bellion
redArrow.gif
Danijel Ljuboja

greenArrow.gif
(83') Larrys Mabiala
redArrow.gif
Kafoumba Coulibaly

Substitutions Anthony Le Tallec (65')
greenArrow.gif

Roy Contout
redArrow.gif


Valter Birsa (66')
greenArrow.gif

Alain Traore
redArrow.gif


Jo- Gook Jung (77')
greenArrow.gif

Dennis Oliech
redArrow.gif



Marcel Picot
Expand
expandInfo.jpg


2 : 0
Final




Match Stats | Minute by Minute
goal.gif
(38') Landry N'Guemo
goal.gif
(85') Bakaye Traore
Goals
yellow-card.gif
(73') Fouad Rachid
Cards Sambou Yatabare (47')
yellow-card.gif

Sambou Yatabare (72')
red-card.gif

greenArrow.gif
(63') Fouad Rachid
redArrow.gif
Julien Feret

greenArrow.gif
(78') Bakaye Traore
redArrow.gif
Marama Vahirua

greenArrow.gif
(90') Benjamin Gavanon
redArrow.gif
Benjamin Jeannot

Substitutions Rajiv Van la Parra (52')
greenArrow.gif

Kandia Traore
redArrow.gif


Thibault Moulin (52')
greenArrow.gif

Damien Marcq
redArrow.gif


Benjamin Morel (83')
greenArrow.gif

Yohan Mollo
redArrow.gif



Stade Fernand Fournier
Expand
expandInfo.jpg


3 : 3
Final




Match Stats | Minute by Minute
goal.gif
(6') Camel Meriem
goal.gif
(64') Yann Kermorgant
goal.gif
(80') Remy Cabella
Goals Morgan Amalfitano (19')
goal.gif

Sigamary Diarra (45')
goal.gif

Kevin Gameiro (53')
goal.gif

yellow-card.gif
(26') Jean-Alain Fanchone
Cards Gregory Bourillon (46')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(58') Yann Kermorgant
redArrow.gif
Kamel Ghilas

greenArrow.gif
(58') Remy Cabella
redArrow.gif
Sebastien Piocelle

greenArrow.gif
(58') Loic Abenzoar
redArrow.gif
Jean-Alain Fanchone

Substitutions Francis Coquelin (77')
greenArrow.gif

Kevin Monnet-Paquet
redArrow.gif



Sunday, March 13, 2011​
Week 27​

Metropole
Expand
expandInfo.jpg


2 : 1
Final




Match Stats | Minute by Minute
goal.gif
(39') Moussa Sow
goal.gif
(90') Eden Hazard
Goals Gregory Pujol (59')
goal.gif

yellow-card.gif
(62') Yohan Cabaye
yellow-card.gif
(79') Eden Hazard
Cards Renaud Cohade (59')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(64') Ludovic Obraniak
redArrow.gif
Pierre-Alain Frau

greenArrow.gif
(74') Tulio De Melo
redArrow.gif
Gervinho

Substitutions Steeven Langil (75')
greenArrow.gif

Gael Danic
redArrow.gif


Remi Gomis (77')
greenArrow.gif

Tae-Hee Nam
redArrow.gif


Nicolas Isimat Mirin (87')
greenArrow.gif

Rudy Mater
redArrow.gif



Stade Chaban-Delmas
Expand
expandInfo.jpg


0 : 1
Final




Match Stats | Minute by Minute
Goals Adriano (23')
goal.gif

Cards Mahamadou Diarra (53')
yellow-card.gif

Sebastien Puygrenier (56')
yellow-card.gif

Stephane Ruffier (90')
yellow-card.gif

greenArrow.gif
(58') Jussie
redArrow.gif
Fernando

greenArrow.gif
(68') Cheikh Diabate
redArrow.gif
Anthony Modeste

greenArrow.gif
(76') Andre
redArrow.gif
Geraldo Wendel

Substitutions Benjamin Moukandjo (59')
greenArrow.gif

Gregory Lacombe
redArrow.gif


Jean-Jacques Gosso (71')
greenArrow.gif

Layvin Kurzawa
redArrow.gif


Igor Lolo (90')
greenArrow.gif

Benjamin Moukandjo
redArrow.gif



Parc des Princes
Expand
expandInfo.jpg


2 : 2
Final




Match Stats | Minute by Minute
 
Simba yataja 20 watakaoivaa Mazembe


Na Zahoro Mlanzi

KIKOSI cha wachezaji 20 na viongozi watano cha timu ya Simba, kinatarajia kuondoka nchini Jumamosi kwenda Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), kuumana na
TP Mazembe ya nchini humo Jumapili katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika.

Katika kikosi hicho wachezaji Kelvin Charles, Faraji Kabali na Abdulhalim Humuod wameachwa huku Hilaly Echessa, Joseph Owino na Uhuru Selemani wakibaki kuuguza majeraha yao ya muda mrefu.

Kwa mujibu wa taarifa ambazo gazeti hili imezipata Dar es Salaam jana, zilieleza kwamba msafara huo utaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Godfrey Nyange 'Kaburu' na viongozi wengine wanne ambao wataondoka Jumamosi mchana.

Mbali na viongozi hao, pia kutakuwepo na viongozi wa benchi la ufundi litakaloongozwa na Kocha Mkuu, Patrick Phiri, msaidizi wake, Amri Saidi, Meneja, Innocent Njovu pamoja na daktari ya timu.

"Humuod bado hali yake si nzuri, hivyo benchi la ufundi limeamua aendelee kubaki nchini kuendelea kupata matibabu ila kipa, Kabali na Kelvin Charles wameachwa kutokana na idadi inayotakiwa kwenda kuwa ndogo.

Taarifa hizo ziliwataja wachezaji watakaoondoka ni makipa Juma Kaseja na Ally Mustapha 'Barthez', mabeki Haruna Shamte, Salum Kanoni, Juma Jabu, Amir Maftah, Meshack Abel, Kelvin Yondani na Juma Nyosso, viungo ni Amr Kiemba, Mohamed Banka na Nicco Nyagawa.

Viungo wengine ni Jerry Santo, Rashid Gumbo, Patrick Ochan, washambuliaji ni Mussa Hassan 'Mgosi', Ally Ahmed 'Shiboli', Shija Mkina, Mbwana Samatta na Emmanuel Okwi.

Alipotafutwa Ofisa Habari wa klabu hiyo, Clifold Ndimbo kuzungumzia suala hilo la safari alisema maandalizi yanakwenda vizuri na kwamba leo wataanika silaha zao zitakazoivaa TP Mazembe.

Alisema timu hiyo itarejea jijini Dar es Salaam leo na kesho au keshokutwa safari ya kwenda DRC, itaanza ambapo watakwenda kwa ndege ya kukodi.



1 Maoni:

blank.gif

Anonymous said... Timu yetu na wawakilishi wetu tunawatakia safari njema na pia mchezo mwema na mfanikio tele. Tunawaombea Dua! Tuleteeni ushindi! Japo TP mazembe ni wazuri sana, jitahidi mambo yanawezekana kabisaa!
March 16, 2011 9:53 PM

Post a Comment
 
Mabondia kibao watemwa timu ya taifa


Na Amina Athumani

SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limewatema mabondi kibao katika kikosi cha timu ya taifa ya ngumi iliyotangazwa jana.BFT pia inatarajia
kumwita katika kikosi hicho, bondia Emilian Patrick aliyewahi kukamatwa nchini Mauritius kwa kashfa ya dawa za kulevya.

Akitangaza kikosi hicho Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga alisema wameamua kuita chipukizi wengi katika timu hiyo na kuondoa wakongwe ili kuimarisha zaidi mchezo huo na kwamba wamezingatia umri, uwezo na nidhamu.

"Wapo mabondia wengi mno ambao walikuwepo kwenye kikosi cha timu ya taifa tumewaacha na hii si kama hawana uwezo, bali tumeangalia vigezo mbalimbali ambavyo mchezaji wa taifa anatakiwa kuwa navyo, hususan suala la umri na nidhamu," alisema Mashaga.

Katika kikosi hicho mabondia 28 wamechaguliwa kuunda timu hiyo ya taifa ambao 24 kati yao ni chipkizi, wakati wakongwe waliobakizwa kwenye kikosi hicho ni Selemani na Godfrey James, Kidunda kg. 75 na Boniface Mlingwa kg. 52 (Ngome) na Maximilian Patrick super weight (Magereza).

Mabondia wengine ni John Christian kg. 49 (Kinondoni), Yahaya Maliki (Polisi), Dogo Mussa (Ilala) na Abdallah Kassim (Ngome), ambapo uzito wa kg. 52 ni Nassor Ally (Pwani), Aidan Issa (Rufiji) na Godfrey Timoth (Morogoro).

Uzito wa kg. 56 ni Ismail Isack (Pwani), Omari Mrisho (Ngome) na Wambura Amiri (Temeke), kg. 60 ni Bosco Bakari (Mwanza), Elias Nkome (Rukwa) na Idd Pialali (Kinondoni), kg. 64 ni Victor Njaiti (Magereza) na Mseven Gosper (Polisi), kg. 69 ni Mohamed Chimbulimbuli (Polisi) na Method Chonga (Pwani).

Pia wamo Abdallah Rashid kg. 75 (Kinondoni) na Juma Ally (Tabora), kg. 81 Abdallah Shaban (Kinondoni), Juma Farahani (Tabora) na Issa Kimanga (Ruvuma) na uzito wa kg. 91 ni Shaban Yusuf (Temeke) na Amos Godwin (Magereza).

Wakati huo huo, BFT imemfungia bondia Renatus Mpandangazi, kutokana na utovu wa nidhamu aliyoufanya katika mashindano ya Klabu Bingwa baada ya kumtukana mwamuzi pamoja na kuvua glove pamoja na head gear na kuvitupa ulingoni, kabla ya pambano kumalizika kati yake na Leonard Machichi.
 
[video]HUIWA kujenga kituo cha watoto yatima Na Elizabeth Mayemba KITUO cha Huduma ya Injili kwa Watoto Yatima (HUIWA), kimepanga kufanya matamasha mikoani kwa ajili ya kukusanya fedha za ujenzi wa kituo cha watoto yatima ambacho kitagharimu sh. milioni 120. Akizungumza Dar es Salaam jana, Mchungaji wa kituo hicho, Maximilian Machumu alisema katika kuhakikisha ujenzi huo unakamilika wamepanga kufanya matamasha katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Mbeya na Tanga. "Lengo letu kubwa ni kukamilisha ujenzi wa kituo hicho kitakachogharimu sh. milioni 120 katika hatua za awali, na maandalizi ya ujenzi huo yameanza kwa kumpata mtaalamu ambaye anafanya tathmini ya ujenzi wa kituo hicho," alisema Machumu. Mbali ya matamasha hayo, alisema pia wamepanga kutoa albamu itakayobeba jina la Nani atakwenda badala yake, ambayo itakuwa na nyimbo nane zinazoelezea na kuhamisha watu, makanisa na taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali kusaidia na kuwajali watoto yatima popote walipo nchini. Alisema albamu ya kwanza iliyobeba jina la Bonde la kukata maneno, waliizindua Machi 6 mwaka huu katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam ambapo mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Monduli Edward Lowasa. Mchungaji huyo alisema atawawekea mikono ya baraka na kuwaombea wale wote waliotoa michango yao, katika kufanikisha ujenzi wa kituo hicho ili pale walipopungukiwa, Mungu azidi kuwaongezea vipato vyao na kuwabariki. [/video]
 
Simba waifuata TP Mazembe kibabe Send to a friend Wednesday, 16 March 2011 21:10

patrick%20phiri.jpg
Clara Alphonce
WACHEZAJI wa timu ya Simba wanaondoka kesho kwenda DR Congo huku wakiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika pambano lao dhidi ya TP Mazembe huko.Mchezo huo ni wa kwanza wa raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, mchezo utakaofanyika Stade Municipal de Lubumbashi ambao wakati mwingine huitwa Uwanja wa Kenya wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 35,000.

Kuingia hatua hiyo, Simba iliitoa Elan de Mitsoudje ya Comoro kwa jumla ya mabao 4-2, katika mchezo wa kwanza, timu hizo zilitoka suluhu na Simba kumaliza kazi Dar es Salaam. TP Mazembe inaanza raundi ya kwanza kwa kuwa ni bingwa mtetezi.

Mabingwa hao wa Tanzania wanaondoka na kundi la wachezaji 20 tayari kwa mchezo wao wa Jumapili huku mshambuliaji wake, Mussa Hassan Mgosi na Juma Kaseja wakiwataka wachezaji wenzao kujituma zaidi katika mchezo huo.

Akizungumza na Mwananchi jana, Mgosi alisema kuwa mechi hiyo itakuwa ngumu kwa kuwa TP Mazembe wako vizuri kifedha, kimpira na wanacheza kwenye uwanja wa nyumbani na wamekwishachukua ubingwa wa Afrika mara mbili.

Hata hivyo, Mgosi alisema kuwa pamoja na yote hayo wachezaji wenzake hawatakiwa kuhofia na wanachotakiwa ni kuhakikisha wanajituma na kujitolea katika mechi hiyo.

''Yaani naomba Mungu aendelee kunijalia uzima mpaka siku hiyo kwani kwa sasa nimejiandaa vya kutosha na hakuma mechi niliyoipania kama hivyo hivyo nataka niwahakikishie Wanasimba kuwa bado nipo na nitapigana kuakikisha nawafunga au tunawafunga,'' alisema Mgosi.

Naye kipa wa timu hiyo, Juma Kaseja alisema kuwa wanachotakiwa ni kujituma kwani uwezo wa kuwafunga upo kama wakionyesha nia ya kufanya hivyo japo mchezo utakuwa mgumu kwa pande zote mbili.

Alisema wao hawakuanza tu na kuwa mabingwa wa Afrika walianzia chini hivyo hawatakiwi kukata tamaa bali kujituma na kujiamini na kuona wanacheza na timu ya kawaida.

Mshambuliaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi amewatoa hofu mashabiki wake katika mchezo wao dhidi ya TP Mazembe na kudai hakuna linaloshindikana endepo watacheza kwa kujiamini huku akiwataka wachezaji wenzake kuelekeza nguvu katika pambano hilo litakalofanyika mapema mwishioni mwa juma hili mjini Lubumbashi.

Okwi ambaye amejigamba kurudi katika kiwango chake baada ya kuwa majeruhi alisema ana imani kubwa na timu yake na kwamba iko imara na itawashangaza mashabiki wake kwa kufanye kweli katika mchezo wao utakaofanyika ugenini kabla ya marudiano hapa nyumbani.

Akizungumza na Mwananchi, shambuliaji huyo alisema wamejipanga vyema na watahakikisha wanaiwakilisha vema Tanzania katika mchezo huo.

"Ni mchezo mgumu hakuna asiyefahamu TP Mazembe na historia yake ya kufanya vizuri lakini ukweli ni kwamba kila kitu ni maandalizi na sisi kama wachezaji tunatambua tunapaswa kufanya nini," alisema Okwi.

Aidha Okwi aliwataka wachezaji wenzake kuendelea na ushirikiano waliuonyesha katika mechi zao za ligi hasa katika kipindi hiki ambacho wanakabiliana na jukumula kuwakilisha nchi kuahidi kuwapa Watanzania kile wanachosubiri.Katika msafara huo, Simba itawakosa Abdulhamid Humoud, Hilal Echessa, Joseph Owino na Uhuru Seleiman ambaye ni majeruhi wa muda mrefu.

Wengine ambao wataachwa ni wachezaji wawili waliowapandisha kutoka timu B Faraji Kabari ambaye yupo kambi ya timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 na Kelvin Charles.Wachezaji ambao wanatarajia kuondoka na timu hiyo ni Juma Kaseja, Ally Mustapha 'Barthez' ambao ni makipa wakati washambuliaji Mussa Hassan Mgosi, Mbwana Samatta, Emmanuel Okwi, Ahmed Shibori na Shija Mkina.

Viungo ni Amri Kihemba, Mohamed Banka, Rashid Gumbo, Patrick Ochan, Nico Nyagawa huku mabeki wakiwa Amir Maftah, Kelvin Yondan, Juma Nyosso, Jerry Santo, Juma Jabu, Meshack Abel, Haruna Shamte na Salum Kanoni.Hata hivyo Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo Godfrey Nyange 'Kaburu' alisema kuwa leo watatoa utaratibu wote wa safari yao ya kesho japo awali walisema kuwa timu hiyo inatarajia kuondoka kwa ndege maalumu.

Alisema kuwa maandalizi ya safari yamekamilika wanachosubiri sasa ni majina ya wachezaji watakaokuwa kwenye msafara huo wa kesho baada ya kumaliza mazoezi ya jana jioni.Timu hiyo ambayo ilikuwa mjini Arusha kwa kambi ya siku tano wanatua leo Dar es Salaam tayari kwa maandalizi ya safari hiyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom