THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 570
- 443
mkuu hilo game lako nime li download jana ni zuri atar na linaongeza skills kwel kwelKuna game inaitwa "Skillz" ina picha ya ubongo lakin huo ubongo una resemble like a human with little legs and hands, lifting some weight on both hands. Nimeishia level ya 20 sijui kam ntamaliza hii game. Nimeishindwa
Hahah, nimeicheza hiyo inahitaji uvumilivu sana πππNeed for speed 2 SE, KnockOut challenge, ile barabara ya mwisho ya barafu π π
Naicheza aana hiiAah we acha tu hv mahjong nan kalielewa
shukhran mkuuNgoja waje kukupa muongozo...