mi naona ili suala la michepuko liingizwe kwenye katiba ili lihalalishwe kabisa. pia hili neno mchepuko liingizwe kwenye kamusi ya kiswahili kwani limesaidia kukuza lugha.
Hahahaha kuna sister duu mmoja ivii anafukunyuliwa 0713 kisa mpenzi wake asije muacha.
Dah I can't risk my life like that. Bora uchepuke tu ila ogopa maradhi
ndo ilivo sikuizi yaaan watu wanatumia sana mtandao pendwa... na amin usiamini wanaume wanaopewa 0659 hawachepuki
Hahahaha kuna sister duu mmoja ivii anafukunyuliwa 0713 kisa mpenzi wake asije muacha.
Dah I can't risk my life like that. Bora uchepuke tu ila ogopa maradhi
hiyo kwel mkuu, ila inapunguza michepuko... ukipata huduma zote njia kuu
hujapenda wewe... subiri akitaka kuchepuka, utarudi unabembeleza mwenyewe ale tgo

Asee kwangu mimi ngumu kumeza akachepuke tu ila siwezi kufanya uhanisi huo, kisa cha kutoa hewa wakati wakujifungu nini waambiwa push unatoa mihewa tu, tena pepo huyo anipitilie mbali kabisa!!

Siwezi mpa 0713 akachepukie mbele tu.
M'Mungu hajapaumba vipite vitu vigumu mfano wa 'kiungo cha uzazi wa mwanaume' and the like. Ndo maana panaleta madhara makubwa pakitumika visivyo.... Kujitoa ufahamu tu. Binafsi nikishajua kwa uthibitisho..ndo tushaachana,no discussion!