wala siyo pigo, ni sayansi tu au hao wenzi wamenusurika kwa sababu wenzi wao walikuwa bize kukukuruka na michepuko wakawa hawana hamu na wenza wao wa ndoa. Ukisema ni pigo itabidi utuambie ni kwa nini wenza wengi tu wasio na hatia wamepata maambukizi ya vvu toka kwa wenzi wao waliochepuka, wakafa woote tena wengine wakaacha yatima. Hili ni funzo kwa wale wanandoa wanaonyimwa migegedo kwenye ndoa. Ukiona mwenzio anakubania bania usitake kumbaka au kukimbilia kwa paroko, chunguza kwanza. ohoooo