Kuwa na multiple girlfriends ni jambo lako na Mungu wako ila kuwaanika namna hii sio tu kuonyesha your personality disorder ila mbaya sana kwa hawa wanawake uliowaaminisha kuwa unawapenda na watu wao wa karibu. Whatever happened between you and "them".