habarini wanajanvi
Nidhahiri kwamba hili neno siku hizi limekua kama fashion mjini na vijijini na likizidi kukua na kuzoeleka kwa kasi ya ajabu
michepuko imekua kama ni jambo la kawaida kwa jinsia zote,si kwa wana ndoa wala ma single men na women
lakini ukisikiliza hoja zote za pande mbili wote huishia kutupiana lawama tu kwa wanaume husema kua wanawake wote ni sawa so dont trust women na wa upande wa pili pia wanadai men ndo chanzo coz wanatamaa xana,
huu mpira imefika point umebalance kwenye equillibrum kiasi kwamba imekua michepuko kama swala la kawaida pande zote mbili bila kujali
lakini kwa upande wangu naludi kuwatupia lawama jinsia ya kike,kama wangekua wanatongozwa na kukataa na kuendelea kubaki na mtu wake mmoja sizani kama michepuko ingekuepo.
urahisi wa kukubali kwa hawa dada zetu ndo wamefanya michepuko imekua dili,
no women no cry
???? shauri wanaume waache kutongoza wanawake.
suala mtambuka sana hili kijana halina upande mmoja tu kwa mfano ukiletewa kesi ya mwanamke kumtongoza mwanaume unaweza kuamua vipi hiyo kama hoja yako ni hiyo?
Dhambi ya wawili, anapohukumiwa mmoja.
Dhambi ya wawili, anapohukumiwa mmoja.
Kwani umesahau UJASIRIAMALI na UKUMALIAMALI au vipi?Habarini wanajanvi,
Nidhahiri kwamba hili neno siku hizi limekua kama fashion mjini na vijijini na likizidi kukua na kuzoeleka kwa kasi ya ajabu.Michepuko imekuwa kama ni jambo la kawaida kwa jinsia zote,si kwa wana ndoa wala ma single men na women.
Lakini ukisikiliza hoja zote za pande mbili wote huishia kutupiana lawama tu kwa wanaume husema kuwa wanawake wote ni sawa so dont trust women na wa upande wa pili pia wanadai men ndo chanzo coz wanatamaa sana.Huu mpira imefika point umebalance kwenye equillibrum kiasi kwamba imekua michepuko kama swala la kawaida pande zote mbili bila kujali.
Lakini kwa upande wangu naludi kuwatupia lawama jinsia ya kike,kama wangekua wanatongozwa na kukataa na kuendelea kubaki na mtu wake mmoja sidhani kama michepuko ingekuepo urahisi wa kukubali kwa hawa dada zetu ndo wamefanya michepuko imekua dili.
No women no cry
Wenzetu Waisilamu wako sawa kabisa,sababu leo kila mwanaume angeoa wanne basi kusingekuwa na MICHEPUKO .Jamani msisahau kuwa wanawake wapo wengi sana kuliko wanaume,na kwa kawaida kuna umri ukifika kila mtu anakuwa na mahitaji ya mwili,(ngono),sasa kama wanaume watakomaa na wapenzi/wake zao tu,hawa wanawake tunaoambiwa kuwa wamezidi watahudumiwa na nani?si watanyanyasika sana!!!?
Otherwise badala ya watu kuchepuka chepuka,wapewe ruhusa(iwe sera ya kitaifa) kwamba,kila mwanamke aliye na mume/mpenzi,aangalie mwanamke mwingine anayeweza kuelewana naye,(awe ndugu au rafiki yake,)washee mume,hiyo pengine inaweza kusaidia kupunguza hii michepuko.
Angalizo,kati ya hao wanawake ambao mume anaongezewa,wajihudumie kwa asilimia 60%,na mume awasaidie kwa asilimia 40%!!!