Michepuko inaumia sana ikiona "status" za "happy family"

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Asikuambie mtu, michepuko inaumia Sana ikiona familia yako ina furaha. Haijalishi ni michepuko ya jinsia gani.

Iwapo utaweka status za familia yako ikiwa na furaha, ujue kuna maumivu upande mwingine.

Ujumbe: Michepuko siyo dili, itakuharibia familia bure.
 
Si kweli. Kwanza ukiona familia ya mchepuko wako ipo happy na wewe unakuwa happy kwa sababu unajua mambo ni bomba, utaendelea kuchepuka naye ipasavyo maana hakuna anayejua mahusiano.

Endapo itakuwa unhappy moyo wako unaweza ukakusuta na kuhofia attacks kutoka kwa familia husika au ukawaza kinachofuata ni kushikwa ugoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Michepuko mingi huwa inatamani familia yako iharibike ili ibaki yenyewe
 
Unajiwakilisha vizuri sana..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

The funny thing is,hiyo “familia” unayodai ina “furaha” infact haina

Display na maandishi ya kuashiria eti mna good time ni infact projections za insufficiencies zenu mna compensatia kwa kuandika na picha kwa wingi na bla blah kibao

Wenye furaha ya kweli hata muda wa kukumbuka ku-upload nonsense hawana

Tatizo mnaangalia one direction tu,hamjiangalii na nyie upande wenu the same way...

Ndio ile “sisi tulioko huku ni bora zaidi” kind of scenerio!

Maisha ni safari sio wote wana nauli-Kaa la Moto
 
Wenye furaha ya kweli hata muda wa kukumbuka ku-upload nonsense hawana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
''Display na maandishi ya kuashiria eti mna good time ni infact projections za insufficiencies zenu mna compensatia kwa kuandika na picha kwa wingi na bla blah kibao

Wenye furaha ya kweli hata muda wa kukumbuka ku-upload nonsense hawana''.

Daah we jamaa leo umeandika booooooooooooooòoooonge la point aisee.

Status zozote zile kule watsap/kupost fb/insta picha ya mtu mkewe labda na watoto eti happy family/happy life/bla bla bla hua ni uongo 100%.

Kudos.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…