Unaweza ukawa umemtokea kwa zile tamaa za uanaume upige usepe, ila ukishaingia huko anataka akuteke maana tayari anajua una mke
Kuna vingine anakupa anajua hivi kwa mkeo hupati kwa hiyo wengi wanakupa mautundu kama yote ili akupagawishe unajikuta unampa cheo cha mchepuko