Wanaoichukia MAN U utawajua tu...
Wanaoichukia MAN U utawajua tu...
Lol... Kongosho usije ukanywa sumu tu..kuanzia leo siongei na wewe
kumbe manyua?
Ndo maana unabeba timu pinzani
ndo ukweli Lizzy,utampenda mwanamke,mtazaa,mtakorofishana,miaka itapita,halafu siku ya siku unapata kipoozeo,its normal,hatuachwagi sisi.Eti "mwanaume haachwi". . . siwezi kufikisha ujumbe usio na ukweli ndani yake. Atarudi akishapumzika vya kutosha.
Lol... Kongosho usije ukanywa sumu tu..
ndo ukweli Lizzy,utampenda mwanamke,mtazaa,mtakorofishana,miaka itapita,halafu siku ya siku unapata kipoozeo,its normal,hatuachwagi sisi.
Basi aina ya wanawake mliokutana nao ni wa aina yake. Bahati mbaya hiyo aina mimi siifahamu. . . hongereni.
Basi aina ya wanawake mliokutana nao ni wa aina yake. Bahati mbaya hiyo aina mimi siifahamu. . . hongereni.
ushawahi kuacha?tena wana bahati sana kupata wanawake wa namna hiyo... But in reality wanaume wanaachwa vizuri! Its just that ni ngumu kwao kukubali ukweli ili waonekane superior..
ushawahi kuacha?
ndio! Infact nimeacha na sijawahi kuthubutu kuwaza kurudi tena even tuki cross path kwa njia yoyote ile!
Kuna sherehe ndogo ya welkamu bak Hashycool inafanyika kwa Michelle jiandae nakupitia nahisi Dotto atakuwa amelala tutambebea Fanta Orange..
poor Hashy,ushampata? Mwambie Bishanga anasema,tena with full confidence,kwamba mwanaume huwa haachwi,yeye atulie tu asi panic Michelle atamtafuta mwenyewe.
Ndio...namwamini Hashycool kwa chenga...ila km Golikipa mwenyewe ni Michelle ngoja tusubiri kipenga...
alikuwa ni mwanaume wa ukweli au ndo hawa 'halijojo'?
Lizzy,sijui una umri gani,kuna mtu (nadhani Michelle) katika uzi huu kasema we ni kigori,take your time,kuna siku utakumbuka maneno yangu.I have seen a lot,nikisema mwanaume haachwi namaanisha hivo,hata huyo Michelle wako siku akirudiana na Hashy wala hatakwambia unless you dump into them accidentally.Take it from me,i know women,na ninawajua uzuri.
Hehehe wakikubali ukweli watakosa kujiamini. . .tena wana bahati sana kupata wanawake wa namna hiyo... But in reality wanaume wanaachwa vizuri! Its just that ni ngumu kwao kukubali ukweli ili waonekane superior..
Michele mimi, na ujana huu?? ye asubiri tu....lol
Wewe unawaongelea hao kwasababu unawajua, na mimi najiongelea mimi kwasababu najijua pamoja na wengine kama mimi. Umri wangu hata kama ni mdogo haunifanyi niwe mtumwa au limbukeni. Kama hujui kuachwa hongera ila wapo walioachwa na watakaoendelea kuachwa. Jitahidi tu usikutane na kina sie maana unaweza ukajikuta unapoteza kujiamini bure kisa kabinti kamekuacha solemba.