The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Ngoja nimuongeze na Klorokwin na Uporoto ili ujumbe uwe mzito kabisa...Klorokwin location wapi ngoja nicheki na GPS locator kwanzaAmehangaikia nini? anakuja hapa na kukimbia zake kurudi porini,mi nifanyeje....AD hawezi kubali!
Hashy na Michelle,embu nitoeni ushamba tafadhali,hivi haya mnayoyaanika hapa ni vya sirias au ni masikhara ya jf?
Ngoja nimuongeze na Klorokwin na Uporoto ili ujumbe uwe mzito kabisa...Klorokwin location wapi ngoja nicheki na GPS locator kwanza
Kongosho, usipende kuongea sana usiyoyajua... soma maneno ya The Boss hapo nyuma, anasema kama Hashy asingekuwa nami basi yeye angekuwa nami.... na sasa anasubiri tu tamko la mwisho la Hashy....mimi sijamtuma aseme hivyo, ni moyo na akili yake inayojua uwezo wangu wa kutunza na kumfanya mwanaume bora zaidi....let me & him worry about that n Yes, I can!
Hashy na Michelle,embu nitoeni ushamba tafadhali,hivi haya mnayoyaanika hapa ni vya sirias au ni masikhara ya jf?
Nikisema naoa utaniuliza kama ni serious au masikhara...lol
I will not be held responsible for anything
Don't say I didn't warn you.
You don't know hor far I can go
All I see now is
:hatari::hatari::hatari::hatari::hatari::hatari:
Hahahaha!! Cousin dah walau nimecheka maana bado niko kwenye majonzihii thread inaniumiza kweli moyo.... nilipenda, lakini wengine wamependa zaidi
Ndio maana siku hizi Bishanga na Husninyo hawaonekaniWala usimjibu
Yeye na Husyn niliwakuta Breakpoint wanakula Makange na zege
hii thread inaniumiza kweli moyo.... nilipenda, lakini wengine wamependa zaidi
Hahahaha!! Cousin dah walau nimecheka maana bado niko kwenye majonzi
Hahahaha!! Cousin dah walau nimecheka maana bado niko kwenye majonzi
hii thread inaniumiza kweli moyo.... nilipenda, lakini wengine wamependa zaidi
MTM wala hakuna anayekufikia hapa kwa nafasi nilikuweka kwenye moyo... hakuna mwingie kati yao aliowahi hata kukumbuka siku ya kuzaliwa kwangu?? Basi tu, sasa nilijua uko occupied nikaona nijiweke pembeni....lol
inauma sana uchungu.... kumbe Michelle muda wote ule na mi-PM laki na alfu ishirini moyo wake wala haudundi
yaillahi toba!!:A S-eek:
inauma sana uchungu.... kumbe Michelle muda wote ule na mi-PM laki na alfu ishirini moyo wake wala haudundi yaillahi toba!!:A S-eek:
Yaani MTM
Utakuwa umenisaidia sana
Please naomba angalau umtoe out
Maana kila nifikiria naona Segerea tu inaninyemelea
I can a 'beast' when it comes to my interests
Ndio maana siku hizi Bishanga na Husninyo hawaonekani