Aisee...mi ni speshalisti wa Jukwaa la MMU katika idara ya Wajukuu. Simpotezi hata mmoja.
Aisee kajukuu nshazeeka....hivi ulizaliwa Birmingham au Stoke?
Hicho kiinglishi hakikuwa kwenye silabasi yetu wakati tunasome enzi za mkoloni.
Nakumbuka tuliishie kwenye topic ya...Gudimong ticha, faini senkyu tichaa, wii aaa sitting daun senkyu ticha. Nakumbuka nilipata A ya kiinglishi. Ila hichi cha kwako ulikuwa unamaanisha Hosni Mubaraka kaingia mitini au?
vp mamaa michelle ulipotelea pande zip wangu mana dah! Yan co cr kulipoa kimtindo yan dah? Sasa kama vp 2pe maujanja ni nn kilikuficha bana?
Maujanja ni BAN,hakuna ujanja mwingine MUREFU,vipi mechi ya leo,watabiri nini kati yetu na WOLVES?
Hiyo ni master's ya HARVARD babu,kazi uliifanya nzuri!!!najua Babu aelewa kidhungu,nilipomleta yule mjukuu mbona uliongea nae? au kuna kauchokozi unatafuta wajukuu maana nimeona multi-quote wajukuu wawili? Babu........huko unakoelekea Babu.........:laugh::laugh:😛opcorn:
khs hl la mech na hawa nimeku2mia kwny PM mana hapa cwez kusema ila ushnd lazma
Hahahaha...na wewe umezidi kusoma katikati ya mistari bana.:coffee:
Insha'Allah leo tutashinda!! ngoja nisome PM!
Kote huko shindeni, mkija Anfield mtatua matatizo yenu....chama limekaa sawa vibaya.Insha'Allah leo tutashinda!! ngoja nisome PM!
Sawa, lakini usimsome babuyo lolNdo nilichofundishwa shule Babu,to read between the lines!!
Kweli Mkuu... lakini hata speshalisti si inabidi awe na ma-non speshalisti ili tupeane uspeshalisti...,Aisee...mi ni speshalisti wa Jukwaa la MMU katika idara ya Wajukuu. Simpotezi hata mmoja.
Kote huko shindeni, mkija Anfield mtatua matatizo yenu....chama limekaa sawa vibaya.
Sawa, lakini usimsome babuyo lol
Kweli Mkuu... lakini hata speshalisti si inabidi awe na ma-non speshalisti ili tupeane uspeshalisti...,
Lakini kazi nzuri kwenye hili Jukwaa Mkuu na kwa mashairi yako sina budi kusema kwamba wewe ni expert, lakini na sisi wasikilizaji tunaomba msitufukuze..,
Tangia mfunge Chelsea mna jeuri sana Babu,ila am happy for you people,mlipita wakati mgumu sana but as always....YOU WILL NEVER WALK ALONE!!! Babu mi nakusoma mdogo mdogo tu,sikusomi sana,nisije opoa laana!!
Sijui kinachoendelea, mod hajatujulisha chochote kama BAN ya Michelle ni ya kukosa au ya kuomba mwenyewe. Ikiwa ni hii ya pili tumwombee arejee haraka. Ikiwa ni ya kukosea, ninamuomba MOD na uongozi wa JF wawe wanatoa ONYO, (ikiwezekana mara 3 kutegemea na ukubwa wa kosa) kabla ya kum-BAN mtu moja kwa moja. Sote ni binadamu na binadamu hukosea.
Michelle ni mmoja kati ya wachangiaji wazuri na mwenye busara. Kwa kipindi hiki, tutakosa busara zako dada.
Nimerudi mkuu,BAN ilikuwa ya muda mfupi,sikuwahi pokea onyo nafikiri onyo ndo BAN,tuko pamoja!! Shukrani sana!
Aisee Michelle tutake radhi...tumewanyuka watu mechi nne mfululizo umesahau? Na katika nne bora tuko kwenye kinyang'anyiro!
Usimsome sana babu katikati ya mistari utajapofuka ukose mchumba. Nami nategemea nipate lendikruza jeupe kwenye mahari yako...
Hahahaha....huyo ameenda kupandia treni eapoti LOL
Nakutaka radhi babu yangu Aspirin!! Nitakuzawadia zaidi ya landcruiser!!! mjukuu kwenye magari mazuri muachie hiyo kazi!utanibariki zaidi!
Pokea baraka kabla hujanninunulia:
Pokea baraka za Bwana.
Upate mwanaume hendisamu kama mimi babu yako,
Asiwe maskini kama mimi babu yako,
Awe na pesa mingi kama Rostam Aziz,
Awe na Baioloji ambayo haitakuumiza,
Ukimwambia umechoka aseme sawa n'ke wangu,
Asiwe na kibamia kikakuchafua na kukutekenya,
Asiwe mchafu
Akivaa viatu miguu yake isitoe harufu ya choo,
Asikugee mimba usizotarajia,
Asikuambukize gono wala kaswende,
Akienda kwa mwanamke mwingine baioloji yake igeuke kuwa ya kike....
Tunaomba hayo kwa jina la Babu mpenda pesa za wajukuu wa kike
Amen.