obama is such a gentleman...kwenye interview moja niliona host amewauliza wakiwa kwenye ubishani nani hutoa neno la mwisho, michelle akasema yeye ndio hufunga mjadala na obama huwa anaamua kumuachia tu ajione mshindi....huku kwetu bishana na mwanaume kama hujala mingumi na mateke ya tumbo
walio wengi...wenyewe wanasema eti mwanaume lazima uwe mbabe....tena nasikia hata festilede wetu huwa anachezeaga vitasa siku moja mojaBaadhi ya wanaume DEMBA. Always remember that 🙂🙂🙂
MSNBC adored this man. They were having so much fun the past 8yrs.
Former President...still adored.