Michel Platin for Prince Alli

Michel Platin for Prince Alli

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
25,049
Reaction score
60,246
Nimeamini kweli hakuna urafiki ama uadui wa kudumu,kinachomatter ni maslahi tu,kutokana na skendo ndani ya FIFA, hatimae MICHEL PLATIN anamuunga mkono Prince Alli kesho kwenye uchaguzi wa Raisi wa FIFA,Ila pamoja na hayo bado Sepp Blatter ana nchi nyingi zinazomuunga Mkono,Tusubiri kesho
 
Hapo Sasa Yanaangaliwa Maslahi Zaidi
Vita Ni Mbinu
Halafu Putin yeye anamuunga mkono Sepp Blatter just because kesi ya corruption ndani ya FIFA imeibuliwa na Marekani.Note,Marekani na Russia haziivi.Kweli hapa ni maslahi tu
 
David Cameroon has suggested Mr.Blatter to resign and election to be postponed!
 
Back
Top Bottom