Miche ya miti ya Mbao Inauzwa

Miche ya miti ya Mbao Inauzwa

mwana ally

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
363
Reaction score
119
Ndugu zangu wana JF Miche ya miti ya mbao inauzwa. Aina ya miche iliyopo ni Gravelia, Acacia, Mibunduki, Acrocapas, na Croton.Miche inapatikana kitaluni katika kijiji cha Mgombezi hapo Korogwe, ni kilometa 5 toka mjini Korogwe. Bahati mbaya simu inashindwa kutuma picha mkaiona vizuri. ila kwa anayejua miti akiiona ataitambua ni miti mizuri ya mbao. Bei ni shs 500/- tu. Tafadhali wasiliana na msimamizi wa kitalu namba zake 0715 727698 na 0767627697 na 0784727697.
 
Back
Top Bottom