Sana...Neno statistics ni shida Kwa wengi
Tivokutana badala ya tulivyokutana!Kuna jamaa yangu tivokutana tu akaniuliza aisee bro mbona unaumwa umekonda nini?
Alikuwa mkurya wa Tarime huyo lasimaNaongeza bumusi kwenye tairi ya pikipiki.
Bumusi-pumzi
Kuna jamaa yangu tivokutana tu akaniuliza aisee bro mbona unaumwa umekonda nini?
Ebu jarb kulitamka Mara 5 kwa harakaharaka uone km unaweza...Neno statistics ni shida Kwa wengi