Michapio hatari

Mkuki kwa mchungu, kwa binadamu nguruwe.
 
Jf kuna vichaa hakika,bwa bwa bwa,kwe kwe kwe kwi kwi kwi moyowangu jamani? You made my day guys,eti haya mavi ya n'gombe kanya nani?
 
minyonyoro badala ya minyororo
ni mchapio maarurufu kila pande dzm
 
Aisee mangi,naomba unipatie vocha ya nokia...unauza je?
 
Gari la tipa, baada ya gari la mchanga au tipa, ha ha ha....
 
yule anaekaanga tracksuit aliyevaa kocha ndo mihogo wenu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…