Michano, Punch lines special thread

Michano, Punch lines special thread

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Karibuni wakuu hasa wadau wa hip hop katika kupeana punch lines zilizowahi kujenga siku yako kwa wasanii wa bongo/mbele.
 
"Meza ukweli kwa presha uteme uongo,mpare anasema muhaya ndio kauleta umeme bongo"by Songa
 
Wakali hawavumi tena wakiniona tu mchecheto/
waulize hawapati vema usela sio kupiga nyeto/
kipi kama sio lawama matozi wanataka battle/
mboga nane mtoto wa mama unajua nini kuhusu ghetto/

mwite stereo singa singa
 
nawamega kisela pole washika pembe/
na nawapeleka jela kama ripoti za mwakyembe/
 
"Kitaa kuna wanyama na nje kuna vicheche,ukiweza tembeza rungu kaa comrade kipepe"
 
Tutaoambana mpaka tone la mwisho la damu/
mi mbabe niite paka panya wengi wananifahamu/

mwite stereo
 
sarakasi ubinuliwe harakati zirudiwe/
hapa unawekwa kati hata uwe araphat ngumi jiwe/
nawinda nachinja bila mundu wala kisu/
nadinda mbele ya makinda wananiita tundu lisu/
 
Mi ni staa wa billboard na msomi mwanafalsafa/
na slaa ka wilbroad hamuoni bado mnasafa/
 
Aaaaah hamna chamana mchana kutwa kuwaimbia waschana
unakuta libaba jituzima oooo eti linakula ujana haziingii akilini wala hazielimishi jamii
sasa nimjue wanini aliyemwaga pombe ya madee!

Stamina
 
Last edited by a moderator:
ugumu wa maisha usifanye uazime nguo/
kuvaa joho kwenye picha haimaanishi ulihitimu chuo

mwite stamina
 
...umelala na demu wako usiku ananiita miimi,
usimwache madem wote wananiita honey,
I'm a gentleman nisiigopa majukuum,
we ni brother man unaeshinda maskani kula nduum,

.........
.kama mwanangu ROMA simwoni amepoteaa,
hivi kalajeremia DEAR GOD aliotee?
wala siamini wanangu mmepoteaa,
kweli game ngumu you better take care.......


MR. NAY
 
popobawa noma masela tulale chali/
dada usibane sana leta zali kwa mentali/

stereo
 
Nipe tano leo na perform nita entertain kushinda kondom
miniko safe kushinda condom jooh

this time naanguka solo mafans wangu twitter wanani follow
nitawashika bila kasoro, paparazi nyuma wana ni silo paparazi nyuma wanipa kijicho

Colnel mustafa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom