Michango JF 2010: Updates

Status
Not open for further replies.
Tunawashukuru wakuu wafuatao kwa jana na leo wametuangia katika kuiwezesha JF:

  1. TheBestCar - Tshs 10,000/=
  2. Ndahani - Tshs 5,000/=
Wakuu tunashukuru sana na Mungu awazidishie

 
Leo tumepokea kiasi cha Tshs 5,000/= toka kwa mkuu Chimunguru kama mchango wake kwa JF. Mkuu tunashukuru sana kwa mchango huu na Mungu akuzidishie!
 
Samahani wakuu, tangu alipochangia Chimunguru list ilikuwa updated kila tulipopata mchango toka kwa wadau lakini sikupata kuwashukuru wafuatao kwa michango yao mpaka leo:

  1. Dreamliner - Tshs 20,000/=
  2. ByaseL - Tshs 5,000/=
  3. AK-47 - Tshs 5,000/=
  4. Bigirita - Tshs 15,000/=
  5. MziziMkavu - Tshs 20,000/=
  6. Mndundu - USD 10.00
  7. Mchukia Fisadi - Tshs 10,000/=
  8. Chimunguru - Tshs 5,000/= (2nd time)
  9. Kishaini - Tshs 10,000/=
Wakuu tunashukuru sana kwa michango yenu na Mungu awazidishie.

 
Leo tumepokea mchango (donation) toka kwa mkuu:

  1. Enny - Tshs 50,000/=
Mkuu tunashukuru kwa support yako na Mungu akuzidishie!

 
Leo tumepokea michango kuiwezesha JF (donation) toka kwa wakuu:

  1. Fernandes Rodri - Tshs 10,000/=
  2. Pilato2006 - Tshs 5,000/=
Wakuu tunashukuru sana kwa michango yenu na Mungu awazidishie.

 
Tunamshukuru mkuu Mike 1234 kwa mchango wake wa Tshs 20,000/= tulioupokea jana. Mkuu Mungu akuzidishie
 
Tunawashukuru wakuu hawa kwa michango yao katika kuiwezesha JF.

  1. WomanOfSubstance - USD 100.00
  2. Selous - Tshs 30,000/=
Wakuu, Mungu awazidishie!
 
Nachukua fursa hii kuwashukuru wakuu hawa kwa michango yao katika kuiwezesha JF:

  1. Mwanitu - Tshs 10,000/=
  2. Hassani - Tshs 10,000/=
Wakuu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awakirimie.

 
Tunashukuru kwa mchango wa Tshs 10,000/= kama 'donation' tulioupata toka kwa mkuu Nyamgluu. Mkuu Mungu akuzidishie
 
Tunapenda kuwashukuru wafuatao kwa michango yao kuiwezesha JF:

  1. Balance - Tshs 10,200/=
  2. LilSun - USD 12.00
  3. UNREGISTERED - Tshs 11,000/=
Unregistered - huyu ni msomaji mzuri wa JF lakini hajajisajili na kaona achangie kidogo alicho nacho. Shukrani mkuu
 
Tunawashukuru wakuu hawa kwa michango yao katika kuiwezesha JF:

  1. Sanctus Mtsimbe - USD 15.00
  2. Allien - USD 10.00
  3. Ab-Titchaz - USD 100.00
  4. Superman - USD 10.00
Wakuu Mungu awazidishie!

 
Tunawashukuru wakuu wafuatao ambao mpaka sasa wametoa donations zao kwa mwezi huu wa Juni:

  1. Liz Senior - Tshs 5,000/=
  2. Masikini_Jeuri - Tshs 30,000/=
  3. Bicha - Tshs 5,000/=
  4. Undisclosed - Tshs 15,000/=
  5. Malaika (not registered) - Tshs 50,000/=
Wakuu, Mungu awazidishie

 
Tunathibitisha kupokea mchango wa Tshs 10,000/= toka kwa mdau generation-Y. Mkuu tunashukuru sana kwa mchango wako na Mungu akuzidishie.
 
Tulishamweka kwenye list lakini hatungependa kutomshukuru mkuu Nyani Ngabu kwa mchango wake wa $10.00 wa tarehe 16, Julai 2010 katika kutuwezesha. Mungu akuzidishie mkuu
 
Tunawashukuru wakuu hawa kwa michango yao:

  1. Maria Roza - Tshs 36,400/=
  2. pmwasyoke - Tshs 10,000/=
Mungu awazidishie
 
Tunamshukuru mkuu Kosmio kwa mchango wake wa Tshs 10,000/= na mkuu Sarah Said mchango wa Tshs 5,000/= ambao wametuchangia katika kuiwezesha JF.
 
Tunawashukuru wakuu hawa kwa michango yao katika kuiwezesha JF:

  1. Kunta Kinte - Tshs 30,000/=
  2. We Know Next - Tshs 5,000/=
Wakuu Mungu awazidishie

 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom