shinji jr
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 276
- 321
pesa ina chapa ya Kaisar lkn kanisa wanaitaka apewe Mungu..!
inashangaza sanaWaanze Kutoa TIN namba kabisaNilijua ni huku niliko mimi tu kumbe kila mahali,yaani kwa hapa nilipo wanakuangalia biashara au kazi uliyonayo then unapangiwa kiasi unachopaswa kutoa,na hiyo inaanzia huku kwenye jumuiya.Wengi wanaacha kusali na wapo wanaohama madhehebu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, nilikuwa ninataka kuhamia huko toka kkkt sababu ya michango, sasa ngoja nianze fikiria TAG.Ukiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila kujali kipato chache.. Huu ni utumwa na unyonyaji wa mchana kweupe.Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi na kwa anasa huku kwa kutumia jasho la waumini.shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.
hao wamissionari ndio usiwataje ni washenzi tu walikuja kusaidia Afrika kutawaliwa mbona sasa hivi huko kwao ndio wanaunga mkono ushoga uliokatazwa na maandiko matakatifuKwa muda mrefu Catholic Churches nchini zilikuwa zinafadhiliwa na mashirika mengi tajiri ya Kikatoliki.
Sasa misaada hiyo imekoma maana makanisa ni mengi.
Kwa makanisa ya KKKT hali hii wamesha zoea, kuikubali, na kuendelea na michango mikubwa na mingi inayolijenga kanisa.
Mkristo jiulize hao wamissionari wslifikaje huku kwetu?
Ni kwa kutumia pesa za sadaka za wengine huko walikotoka.
Ni ukweli usiopingika kuwa sasa wamechoka, msimamo wao makanisa duniani wajitegemee, hii ni pamoja na vijana wengi Europe, Marekani na wafadhili wengine, kuiasi dini.
Hivyo hata huko makanisa yana sinyaa.
Huko Marekani na Uingereza Makanisa yanageuzwa ofisi, bar na studios au hata night clubs.
Kijana endelea kujitolea kadri uwezavyo ili Neno la Mungu liendelee kuhubiriwa duniani kote.
HAPANAKwani mfano ukienda kusali na kutoka bila kuchanga watakuzuia kwenda tena Jumapili ijayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaongelea sasa, mimi nimeonglea miaka 150 iliyopita.hao wamissionari ndio usiwataje ni washenzi tu walikuja kusaidia Afrika kutawaliwa mbona sasa hivi huko kwao ndio wanaunga mkono ushoga uliokatazwa na maandiko matakatifu
utaendaje kwenye nyumb a ya MUNGU mikono mitupu?hata kidogo ulichonacho kimege kipande kidogoooo uende nachoKwani mfano ukienda kusali na kutoka bila kuchanga watakuzuia kwenda tena Jumapili ijayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaitwa blind faith, waamini wa dini hawajiulizi zaidi ya wanachofundishwa na dini zao.Kwanza inabidi ujiulize kama mungu yeye ndio aliumba vitu vyote kwanini mumuchangie hela zote hizo?
Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Watu kama nyinyi ndio mnaokwamisha maendeleo Na mnataka kufanyiwa kila kitu...bora hata Roman Na Lutheran ChurchUkiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila kujali kipato chache.. Huu ni utumwa na unyonyaji wa mchana kweupe.Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi na kwa anasa huku kwa kutumia jasho la waumini.shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.
walao waumini huona kile wachangiacho ni kwa manufaa ya kanisa kuliko kwenye baadhi ya makanisa kiroho ambapo waumini huchangia miradi ya wenye kanisa wachungaji nk