Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Ujumbe umefika
Ujumbe umefika
Ujumbe gani, na umefika wapi?Ujumbe umefika
Sure wanataka wenyewe wawe na bima wakati asilimia kubwa ya waumini wao haziwezi kunilipia bima. Na kwenye matumizi yao utasikia milioni 200 zimetumika kununua funiture na kuweka A. C kwenye nyumba za mapadri hakuna ata senti inayorudi kwenye jamii.Umeongea ukweli mtupu alafu unashangaa mapadri wanaishi kitajiri sana majumba yao ni mazuri wanaendesha magari makali wanavaa vizuri kula vizuri kutibiwa hospitali kali nk wakati asilimia 80 ya hao waumini wafia dini ni masikini wa kutupwa mtu wewe kama wewe hujui hata familia yako kama wana bima ila ndo wa kwanza kimberembere kuchangisha bima ya mapadri zako. Unaambiwa akili za kuambiwa changanya na zako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huku kwetu tumeambiwa kila familia itoe laki nne kwa mwaka.Kooote utavumilia ila pagumu hapo kwenye kupangiana michango.
Mtu anakupangia mpaka zaka uto sh. ngapi? Aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida haipo kwenye kujitoa. Shida ipo kwenye kupangiana kiasi cha kutoa.Kwa muda mrefu Catholic Churches nchini zilikuwa zinafadhiliwa na mashirika mengi tajiri ya Kikatoliki.
Sasa misaada hiyo imekoma maana makanisa ni mengi.
Kwa makanisa ya KKKT hali hii wamesha zoea, kuikubali, na kuendelea na michango mikubwa na mingi inayolijenga kanisa.
Mkristo jiulize hao wamissionari wslifikaje huku kwetu?
Ni kwa kutumia pesa za sadaka za wengine huko walikotoka.
Ni ukweli usiopingika kuwa sasa wamechoka, msimamo wao makanisa duniani wajitegemee, hii ni pamoja na vijana wengi Europe, Marekani na wafadhili wengine, kuiasi dini.
Hivyo hata huko makanisa yana sinyaa.
Huko Marekani na Uingereza Makanisa yanageuzwa ofisi, bar na studios au hata night clubs.
Kijana endelea kujitolea kadri uwezavyo ili Neno la Mungu liendelee kuhubiriwa duniani kote.
"Mtu Hutoa Kama Vile Ameazimia Moyoni Mwake”Ukiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila kujali kipato chache.. Huu ni utumwa na unyonyaji wa mchana kweupe.Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi na kwa anasa huku kwa kutumia jasho la waumini.shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.
Utasali tu, tatizo hii michango inadaiwa huku kwenye jumuiya. Nanusipoitoa inamaaana ata huduma za kanisani hutapata maana jumuiya ndo zinatunza hzo kumbukumbuKwani mfano ukienda kusali na kutoka bila kuchanga watakuzuia kwenda tena Jumapili ijayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Bima ya mapadre?? kanisa katoliki si lina mahospital dunia nzima? wanahitaji bima ya nini sasaSasa kama kutoa ni moyo s utajiri kwanini wafosi hadi wakuambie familia ya mzee fulan mtatoa laki, mara bima ya mapadre, mara mchango kwa ajili ya nini na wakati huo huo wanapga biashara, maana wana bank, wana redio, wana tv, wanahospitali wana shule na huko kote hupati huduma kama huna hela
Sent using Jamii Forums mobile app
400k , daaah . Hawa jamaa inafika kipindi wanaboa sana.Huku kwetu tumeambiwa kila familia itoe laki nne kwa mwaka.
Hii nayo mpyaHuko Marekani na Uingereza makanisa yanageuzwa miskiti. Simple and clear
Nu lazima.. Usipotoa unaonekana ni muasi
mkuu jaribu kusoma roman empire ndio utaelewa catholic nini hasaUkiamka mara sijui tengeneza nini, ukihema mara sijui bima ya kina nani, ukikohoa mara zaka yani ni shida, imefikia kipindi watu tunapangiana kwamba kila familia ni LAZIMA ITOE LAKI KADHAA Bila kujali kipato chache.. Huu ni utumwa na unyonyaji wa mchana kweupe.Nachokiona watakatifu (mapadre na viongozi wadini) wanataka kuishi kitakatifu zaidi na kwa anasa huku kwa kutumia jasho la waumini.shida sana itabd watu waanzishe dini za familia.
Umeeleza vemaKwa muda mrefu Catholic Churches nchini zilikuwa zinafadhiliwa na mashirika mengi tajiri ya Kikatoliki.
Sasa misaada hiyo imekoma maana makanisa ni mengi.
Kwa makanisa ya KKKT hali hii wamesha zoea, kuikubali, na kuendelea na michango mikubwa na mingi inayolijenga kanisa.
Mkristo jiulize hao wamissionari wslifikaje huku kwetu?
Ni kwa kutumia pesa za sadaka za wengine huko walikotoka.
Ni ukweli usiopingika kuwa sasa wamechoka, msimamo wao makanisa duniani wajitegemee, hii ni pamoja na vijana wengi Europe, Marekani na wafadhili wengine, kuiasi dini.
Hivyo hata huko makanisa yana sinyaa.
Huko Marekani na Uingereza Makanisa yanageuzwa ofisi, bar na studios au hata night clubs.
Kijana endelea kujitolea kadri uwezavyo ili Neno la Mungu liendelee kuhubiriwa duniani kote.