Michael Wambura Kufikishwa Mahakamani Leo


Tumbo Tumbo

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
589
Likes
597
Points
180
Tumbo Tumbo

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
589 597 180
Wakuu Kuna Taarifa Kwamba Michael Wambura Yuko Pccb Upanga Wamemkamata Toka Juzi Jumamosi. Na Kuna Taarifa Kwamba Wanaweza Wakamfikisha Mahakamani Leo Na Wakampa Kesi Ya Money Laundering..... Wakati Utasema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
5,369
Likes
1,634
Points
280
N

nguvu

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
5,369 1,634 280
Alivyotimuliwa tff alipaswa kunyamaza, msomali lazima ampoteze ana roho mbaya sana
 
Tumbo Tumbo

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
589
Likes
597
Points
180
Tumbo Tumbo

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
589 597 180
Leo Hii Malinzi Yuko Ndani Kwa Matumizi Mabaya Ya Madaraka Lakini Aliekuwa Makamu Wake ambae ndio M/kiti Wa Kamati Uchumi na Fedha Wa Tff Ndugu Karia Yuko Nje Anadunda
Sasa hivi ofisi zenye mamlaka zinatumia sana mamlaka hayo vibaya sana, sitashangaa kama hilo likiwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
7,022
Likes
4,945
Points
280
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
7,022 4,945 280
Hii ni wakati yuko madarakani au ni baada..?
 
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Messages
1,038
Likes
2,082
Points
280
N

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2018
1,038 2,082 280
NDO MAANA JAMAA JUZI ALIMSIMANGA TUNDU LISSU,MSOMALI ANAJUA ILE KAULI KUNA WATU ITAWAFURAHISHA SANA WAMSAIDIE KUMKANDAMIZA WAMBURA,MALINZI ,MWEISGWA NA SASA WAMBURA WANATESWA NA MKONO WA KARIA AMBAYE KUPANGA RATIBA TU KUMEMSHINDA ACHILIA MBALI KUKIMBIWA NA WADHAMINI
 
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
1,179
Likes
2,065
Points
280
100 Likes

100 Likes

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2018
1,179 2,065 280
Leo Hii Malinzi Yuko Ndani Kwa Matumizi Mabaya Ya Madaraka Lakini Aliekuwa Makamu Wake ambae ndio M/kiti Wa Kamati Uchumi na Fedha Wa Tff Ndugu Karia Yuko Nje Anadunda

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo matumizi mabaya ya ofisi tunayoyazungumza.
 
M

mugosha

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
659
Likes
253
Points
80
M

mugosha

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
659 253 80
Leo Hii Malinzi Yuko Ndani Kwa Matumizi Mabaya Ya Madaraka Lakini Aliekuwa Makamu Wake ambae ndio M/kiti Wa Kamati Uchumi na Fedha Wa Tff Ndugu Karia Yuko Nje Anadunda

Sent using Jamii Forums mobile app
Makamu mahali popote na kwenye cheo chochote hana power ya kufanya lolote bila maelekezo ya bosi. Saa ingine ili kuzuia mwingiliano, makamu huwa haweki saini kwenye doc. zozote za maamuzi. Kumbuka pia Karia alikuwa katikati ya Wahaya wawili, Malinzi (chair) na Mwesigwa (GS). Kwa hivyo inawezekana alikuwa sidelined kwa kila kitu na ndicho kilichomuokoa (blessing in disguise)
 

Forum statistics

Threads 1,262,335
Members 485,559
Posts 30,120,778