Michael Crifford alikuwa Jasusi wa Beberu?

Michael Crifford alikuwa Jasusi wa Beberu?

Nauliza tu Kwa Nia njema

Kwanini Kesi kafungulia Mahakama ya London, UK badala ya CMA au Mahakama ya Kazi Tanzania?!

Jumaa Mubarak 😃🌹

Kwa kifupi kwamba Michael Clifford aliajiriwa na MIC Luxembourg na pia ni raia wa England ,kwahiyo alikuwa anasimamia kampuni tanzu zote za MIC kwenye nchi mbalimbali kama Internal investigator.
 
Tukiwa tunasema Waingereza ni watu madhalimu hapa duniani muwe mnatuelewa.

Mbatizaji, Subiri mawakala wao waliopo CHADEMA waje watuelleze. Hivi huyu Clittoid alikuwa Jasusi wa Beberu🔥🔥🐼Cliffoid?
Kumbe kutoa taarifa za wauwaji ni kosa upande wenu?
Nilifikiri utamuunga mkono ili wale wanaosemwa hawajulikani wajulikane!
Kwani damu za watu kumwagika huwa mnapata faida gani?
 
Ni huyu hapa au kuna mwingine 👇👇
Screenshot_20240927-105325~2.png
 
Back
Top Bottom