Jibu lako utalipata iwapo utajiuliza maswali ya kwanini wale wengine walioshinda kesi zao za migogoro ya kibiashara au kimikataba ya kimataifa na aidha serikali ya Tanzania au taasisi za ki Tanzania kesi zao zilifunguliwa nje ya nchi na wakasikilizwa na kupata haki zao....
Na bila shaka ni kwa sababu MILLICON/HONORA/TIGO TANZANIA ni kampuni ya kimataifa na inafanya shughuli zake za kibiashara Tanzania kwa sababu ya mikataba ya uhusiano wa kimataifa kama IGA, MIGA, MA nk ambayo Tanzania tumesaini...
Wewe
johnthebaptist mwajiriwa ukiingia mgogoro na mwajiri wako Mkurugenzi wa Namtumbo District Council, utaenda mahakama za kazi Tanzania...
Lakini kama umeajiriwa na Geita Gold Mines na ukaingia mgogoro nao, unaweza kuwashitaki kwenye mahakama ya usuluhishi wa kibiashara huko duniani...
Ndivyo ilivyo kwenye hili la TIGO na Mr. Michael Clifford. Hapa sio issue ya ujasusi Bali ni ishu ya kisheria na haki ya mtu...