Yaani NE kila kukicha una jambo ?
Palipo na mkusanyika wa wanawake na wanaume tegemea vitu kama hivyo kuwepo.
Na ndio Maana MODS waliamua kuweka PM .
Bila shaka walifikiri sana.
Pole Akili ni nywele kila mtu ana zake
Halafu member wengi wanatumia majina na sura bandia , inakuwaje mtu awe interested na wewe wakati hata sura hakufahamu, umbea tu,hakuna mtu anayekutaka,unajishebedua tu.
Kwani watu wakitaka kutongozana kuna sehemu maalum ya kukutana, nijuavyo hamna sehemu maalum hivyo ni popote hata chooni ndipo penye nafasi mtatongozana then mtapeana date ya lunch au dinner. sas huko kama mkikubaliana sawa ukikataa sawa.
hivyo usikasirike kwa hao waliokutongoza kwenye PM , kuna walioona humu humu JF kwa kuanzia ku-PM
Yaani NE kila kukicha una jambo ?
Palipo na mkusanyika wa wanawake na wanaume tegemea vitu kama hivyo kuwepo.
Na ndio Maana MODS waliamua kuweka PM .
Bila shaka walifikiri sana.
Pole Akili ni nywele kila mtu ana zake
Hongera FIRSTLADY, umemwambia ukweli maana siku zote popote kwenye -Ve na +Ve lazima huvutana kwa matamanio, sasa yatakayo futa ni makubaliano si lazima ukubari
Ukiwaweka wazi na mimi nakuweka wazi tulivyochakachuana.
Naomba uwaweke wazi na wale wote uliowakubalia hapo mwanzo.........Haiwezekani hadi umri huu usiwe umechakachuliwa..........UZURI WAKO NOT ENOUGH NDIO UMEKUPONZA JAMANI.....I LUV U DEAR HEART LOTION