Miamba ya nyimbo za country

Don william & Ken Rogers nawaelewa sana.
 
Mtoa Mada kutokumuweka Jimmy Reeves ni kama kutokujua Mambo... tunaita Ukurupukaji ila kwa kuwa ni Mtanzania namsamehe...
 
Mtoa Mada kutokumuweka Jimmy Reeves ni kama kutokujua Mambo... tunaita Ukurupukaji ila kwa kuwa ni Mtanzania namsamehe...
He will have to go
I love you because
Hivi vibao hutulia sana nikivisikia
 
Farewell Jamaica (don Williams) na Doly Parton (The coat of many colours)
 
some broken heart never mend by don williams. huwa napata raha sana
 
He will have to go
I love you because
Hivi vibao hutulia sana nikivisikia
Sure mkuu Distance Drum si Mchezo ukisikiliza kwenye mtambo wa ukweli unaweza tokwa na chozi la furaha.. yaani kama nyimbo mpya vile...

Sure Kuwa hawa jamaa walikuwa ni Mahili sana ni kwamba wana vibao vingi vitamu na sio vichache... au hata kama ni vichache basi vyenye ubora hasa...

Jimmy Reeves ni namba Moja second akabeba Don Williams wengine ndio wanafuata kina Skeeter Davids,Kenny Rodgers,Connie Smith,Buddy Holly n.k. hawa Jamaa vibao vyao vinakuna haswa na ni vingi walitoa vikawachanganya sana watu hata sasa hivi wageni wakisikiliza lazima watapagawa tu kwani hamna namna.

kuna wengine wamepiga country kali sana ila ndio album nzima nzuri moja au mbili.. Utamu wa Muziki hata kama hujui lugha yake yaani ukiupatia tu unapendwa... kama Diamond My Number One ulipendwa hadi na wasiofahamu kiswahili wa nje na ndani ya nchi... Kuna Nyimbo kama Jolly Taxi lugha hata siijui lakini niliupenda tu...
 
charlie Pride na kitu kiss an angel goodmorning yaani hili songi nikilisikia huwa lazima nidindishe... sijui kwa nini
 
charlie Pride na kitu kiss an angel goodmorning yaani hili songi nikilisikia huwa lazima nidindishe... sijui kwa nini
Duh... mkuu utakuwa unaukame kinoma nenda Kinondoni ukajiponee... Naona End of the World imewadia..
 
George Strait anaimba nini........?.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…