Miamala ya simu, ni vibubu va walalahoi

chivala

JF-Expert Member
Apr 13, 2021
772
2,333
Ni utafiti niloufanya mapema tu baada ya mzigo huu wa kodi ya muamala wasimu na ikapachikwa jina hasimu la UZALENDO, nimegundua kwamba asilimia 90 ya watumiaji wa miamala ya simu ni wale walala hoi waliokua wakihifadhi pesa zao ndogondogo kweye vibubu au kwenye vibuyu na vyungu tu.

Hivyo basi ieleweke kama kusudio la kuleta kodi hii ni kwa kuwalenga matajiri wenye pesa zao, basi matajiri wao hutumia MIAMALA ya kwenye mabenki.
 
Back
Top Bottom