Baadhi ya watu walio wengi wanapenda sana kushabikia na kusambaza taarifa ya vitu au mambo mengi ambayo hawana uhakika wala uthibitisho usio na shaka.Mimi hupenda kueleza na kuzungumza vitu au mambo ambayo nimefanyia utafiti na kubaini ukweli usio na shaka.Binafsi uongo na uzushi ni dhambi ambayo ninajua mshahara wake ni jehanamu ya moto.Mimi sitaki kabisa kwenda motoni, bali nataka kuingia mbinguni, kwahiyo siwezi kusema uongo.
Twende kwenye mada yenyewe,Kumekuwa na maneno mengi yanayozungumzwa kuhusu Askofu Kakobe na ukifuatilia unakuta huyo anayezungumza hajua lolote na ni habari za kusikia tu na hajatafiti yeye binafsi.Mfano unakuta mtu anasema bila aibu Kakobe ametoroka nchi!Wakati ukifuatilia pale Mwenge Kanisa la F.G.B.F Jumapili unamkuta madhabahuni anafundisha Neno la Mungu!.Mfano Jumapili hii ya tarehe 30.03.2014,Askofu Kakobe amefundisha somo, "USIPOWAHUBIRI WAO WATAKUHUBIRI WEWE".Ukipita mitaani bado watu wanaendelea kusema uongo!Kakobe alishatoroka zamani na hayupo Tanzania.
Utafiti wangu ambao nimeufanya kwa zaidi ya miaka 20 kwa kumsikia,kuzungumza nae na kumwona kuhusiana na Askofu Mkuu Zachary Kakobe ni kwamba.Askofu Kakobe ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli ambaye anamjua Mungu anayemwamini na kumtumikia,haendi kwa misisimiko au kwa kufuata upepo unaelekea wapi!.Mfano kipindi kile ambacho maelfu elfu walikuwa wanapanga foleni kwa mzee yule aliyejulikana kwa jina la Babu wa Loliondo na kupata kikombe,Askofu Kakobe kwa ujasiri mkubwa alisimama na kufundisha kwa kutumia Biblia kwamba ile siyo Mungu aliye hai ni uganga tu wa kienyeji na akasema hicho mnachokiona hakitaendelea,wengi walipinga sana na kukebehi lakini leo imekuwa ni historia na alichokifundisha kimetimia.Ninazo kaseti za mafundisho kuhusiana na hayo.Askofu Kakobe ni Mtumishi wa Mungu wa kweli anayefundisha kweli yote bila kuangalia sura za watu.Pia anachokifundisha ndicho anachokiishi!Maisha yake yapo nuruni kweli kweli na hicho ndicho kinanivutia sikuzote kuendelea kujifunza kutoka kwake.
Askofu Kakobe amejitoa kwa asilimia zote kwa ajili ya Ufalme wa Mungu na matunda yanaonekana na mpaka sasa Injili inahubiriwa ulimwenguni kote kwa njia nyingi mbalimbali.Wale wanaozungumza uzushi na uongo kuhusiana na Askofu Kakobe ni wale ambao wana roho nyingine na siyo Roho wa Mungu aliye hai na hawataki kweli yote.Kwa maana imeandikwa, 1YOHANA 4:6, "Yeye amjuaye Mungu atusikia,Yeye asiyetokana na Mungu hatusikii.Katika hili twamjua Roho wa kweli,na roho ya upotevu".Mwenye masikio na asikie!Nawasilisha.
Mwemkundu umeshawahi kufika nyumbani kwa Kakobe kijitonyama? unawajuwa wanaioshi kifahari?Kakobe ni mpiga dili we hukuona kipindi kile walikua wanagombana kwenye account yake kuna nini?
Toa toa dhahabu etc jamaa anaishi maisha ya kifahari kama president kwa fedha zenu bado hujashtuka tu
Steam n vapour?

Mkuu hv mmepewa fedha kiasi gan ili kumsafisha huyo mchungaji feki? Hiv unahitaji elim kiasi gani kujua kuwa kakobe si mchugaji ila taperi? Unahitaji maandiko yapi kujua kuwa yy ni miongon mwa kundi la wanaotumika badala ya mwoovu? Hebu lete maandiko kuthibitisha kuwa huyo mchungaj wako anawepeleka watu mbinguni? Hapo ndo nakubaliana na watu kuwa IQ za wabongo finyu sana. Unahitaji kuwa jasiri usie na aibu kumtetea kakobe kuwa ni mchungaji, may b uwe kama ch..izNi ajabu sana watu wameufanya uongo kuwa ukweli na ukweli kuwa uongo!.Ndio maana watanzania wengi wamekuwa wanadanganywa na wana siasa kila kukicha kwa kuwa wameona watu wengi wanapenda kuambiwa uongo!Usiwe miongoni mwao!Mtu anashindwa vipi kwenda Mwenge FGBF jumapili kuthibitisha?.Nasema kwa ujasiri wote kwamba Askofu Kakobe ni Mtumishi wa Mungu wa kiwango cha kimataifa.Na Mungu mwenyewe amemjalia neema ya pekee sana kwa ajili ya ulimwengu.Kuamini au kutokuamini haibadilishi ukweli huo.Mwenye masikio na asikie!