Miaka yako

Miaka yako

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Chukua 259 zidisha miaka yako jawabu utakalopata zidisha 39 utapata tarakim 6 nakila tarakim 2 zitamaanisha miaka yako hebu fanya kweli uangalie kweli au si kweli

NB:Kwa wenye kuanzia miaka 100 hii formula haikubali
 
Mkuu ni kweli unachosema, inaonekana kwenye hesabu uko njema, big up! Ila kwa umri chini ya miaka kumi, digit ya mwanzo kati ya hizo mbili ndiyo inayotaja umri wako.
 
dah naikumbuka io hesabu zamani sana
 
dah! Kwa sisi vikongwe wenye miaka 102 hujatutendea haki, jaribu kututafutia na sisi basi, mi nimeishia kujaribisha miaka yangu enzi nikiwa kijana
 
Back
Top Bottom