tandabui2021
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 3,120
- 5,362
Sina access nayeEbu mulize tena mganga
Anza kupiga saraSina access naye
Njoo nikuponyeNahisi hao malaika namie nnao nikinywa naumwa ila ndio siachi....wataniua!!!
Kweli?
MajiniMalaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi Sana
Baadaye nikienda kwa mama mmoja mganga akaniambia wewe una kama malaika fulani kichwani kwako hawapendi unywe pombe
Sasa najiuliza ni aina gani ya malaika walikuwa kichwani kwangu?
Na usikute huu uzi hao malaika ndo wameuanzisha.Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi Sana...
Hebu nyoosha vizuri, ni malaika au majini?Malaika wangu hawapendi ninywe Tungi, hili jambo limenishangaza kwa muda mrefu sana, sikuwa ni mtu wa dini sana ila nikinywa pombe nilikuwa nakumbana ni mikosi Sana...
HahhahahhNahisi hao malaika namie nnao nikinywa naumwa ila ndio siachi....wataniua!!!