Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,137
- 33,547
Si ajabu kuona leo tuna tumia simu janja miaka ya sasa ila ingekuwa miaka 1200 B.c (kabla kristo) kingekuwa kinaelezwa tungemchukulia chizi kwa kuwa uwezi kukubali ujakiona.
Matajiri wakubwa kama Elon musk wa space X kujitolea kuboresha usafiri wa anga ya mbali kufikia sayari hiyo inayotajwa kutwa na mchana.
Na tajiri mkubwa wa amazon jeff bezos naye kuamua kujikita kwenye makazi ya huko
Na wengine.huku mashirika makubwa yakiendelea kujikita kabisa tutaishi vipi huko kupitia baba lao NASA na wengine wanao boresha leo na kesho.
Lakini cha kushangaza kwa nini mars ina asilimia 95 kuwa kama dunia yetu
Wanasayansi wamegundua mfumo wa kikemia jinsi ya kutenganisha gesi ili kupata hewa ya oxygen na mafuta .
Je hewa hiyo inaweza kupatikanaje wakati asilimia 0.1 ndio kundi lilopo oxygen ndani.
Sayari ya marsi ina zingilwa na hewa ya carbon dioxide
Kikemia ni kampaundi inayounganisha atomi mbili za oksijeni na atomi moja ya kaboni katika molekuli. Fomula yake ya kikemia ni CO₂
Tunajua vyote tunavo tumia plastic,pombe,mafuta,virutubisho,mbolea,uchafuzi wa mazingira n.k asilimia kubwa vinaundwa na carbon.
Asilimia 90 ya vitu vingi carbon inatumika sana (organic chemistry)
tawi la sayansi ya Kemia linalochunguza kampaundi za kikemia zinazojengwa na kaboni. Inaitwa pia kemia ogania kwa sababu miili ya viumbehai wote inafanywa kwa maji na kampaundi ogania ya kikaboni.
Lakini sayansi hii inaweza kusibitisha kama hewa hiyo ya kikaboni mfano duniani bila miti hatuwezi kupata hewa hiyo japo inachakatwa na miti.
Kama wataweza kuchakata basi inaweza kusaidia miti itakayo pelekwa huko kupata hewa na kugeuza kuwa dunia,kwa sababu marsi inatabia zote za kidunia ila ina jangwa
Naomba tujadili kitalaamu tupate mawazo