Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,889
- 60,335
Zanzibar walikuwa na Tv tangu mwaka 1972 na ilikuwa na mfumo wa PalJamaa anaulizia TV wakati hata sukari ilikuwa mpaka kwa foleni. Mataifa yanayotuzunguka walikuwa na TV stations except Tanganyika . Wakati huo huo tukipigana vita kukomboa mataifa yasio na shukuruni.
Sijui kwanini tuko hivi sisi na swali ni moja tu kila kukicha "Nani alituroga?