Miaka ya 80 TV zilikuwa bei gani?

Miaka ya 80 TV zilikuwa bei gani?

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,831
Nimeuliza baada ya kukukumbuka msoto wa kuangalia 'video' enzi zile maana zilikuwa za kuhesabu sana wakati watu sio kwamba hawakuwa na hela maana wengi walikua wanamiliki hata magari lakini ikija kwenye tv ilikua kitendawili.

Sasa nataka kujua kwa wadau waliomo humu kama kuna anaejua TV kwa miaka ya 80 hadi tisini mwanzoni zilikua bei gani, au ni kwamba zilikua hazipatikani?

Maana nakumbuka mi pia nlimsumbuaga sana mshua kila akisafiri lazma nimwambie akirudi aje na 'video' maana hakua maskini na sikupataga nafasi kumuuliza why haleti sabab ya utoto mpaka alipo rest in peace. Nini hasa kilifanya watu wasiwe nazo wakati walikua wanazitamani?
 
Sera ya siasa za ujamaa na kujitegemea iliviona vyombo hivyo vya TV kama hanasa. Na hivyo walielekeza nguvu katika matangazo ya radio. Kwani tulikuwa na radio stations tu. Ambayo ni
1 RTD idhaa ya taifa.
2. Idhaa ya biashara RTD
3. External service RTD
4. TV ilikuwa ni Zanzibar tu.

Hali hiyo ililegezwa baada ya Mzee Mwinyi kuingia madarakani. Kabla ya hapo cinema nyingi tuliona kupitia taasisi za dini. Na wao walitumia projector. Na hata majumba mengi ya cinema yalitumia projector.
 
Tulikuwa tunaangalia KBC pale YMCA Moshi black and white.zimeingia wakati wa Mzee Mwinyi na nyingi zilitokea Zanzibar
 
Tulikuwa tunaangalia KBC pale YMCA Moshi black and white.zimeingia wakati wa Mzee Mwinyi na nyingi zilitokea Zanzibar
Jamaa anaulizia TV wakati hata sukari ilikuwa mpaka kwa foleni. Mataifa yanayotuzunguka walikuwa na TV stations except Tanganyika . Wakati huo huo tukipigana vita kukomboa mataifa yasio na shukuruni.
 
Me ndio nilikupiga kibao siku ile naomba kuchukua nafasi hii kukuomba radhi
 
Aki my ribs

Pole Sana kwa kibao chenye miaka zaidi ya 20 lkn mpaka Leo Bado unakikumbuka
So unajua tena tulikuwa wadogo so tunatafuta siti za mbele nkajisahau nkaganda mbele ya projector!mwee!yule jamaa alikuwa hana huruma.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakumbuka nlishawahi kupigwa kibao kimoja kitakatifu na MTU ambaye simfaham hadi leo kisa nilisimama mbele ya projector wakati wanaangalia muvi,sintakaa nisahau early 90s!
 
By that time kumiliki Tv ilikuwa hatar very very expensive, zilikuwa kama ilivyokuwa kwa simu .
Maana tv za laki 3 au 5 kipindi ile ndio sasa 50k au 30k, zile philips toshiba ,sony chogo ila zilikuwa za ukweli.
Na simu ilikuwa inakunyonya kama 5000 kwa siku wether umetumia au hujatumia inakukata tu.celtel na buzz ndio wako hewan masimu meng ni siemens and sony erickson kabla nokia hajakuja kutuokoa
Na hizo simcard zilikuwa kubwa kama card za benk
 
mi nilipanga nina tv SONY SOPHIA siiku ya mechi inabidi nihamishje sebuleni kwa mwenye nyumba
 
Nimeuliza baada ya kukukumbuka msoto wa kuangalia 'video' enzi zile maana zilikua za kuhesabu sana wakati watu sio kwamba hawakua na hela maana wengi walikua wanamiliki hata magari lakini ikija kwenye tv ilikua kitendawili. Sasa nataka kujua kwa wadau waliomo humu kama kuna anaejua TV kwa miaka ya 80 hadi tisini mwanzoni zilikua bei gani, au ni kwamba zilikua hazipatikani? Maana nakumbuka mi pia nlimsumbuaga sana mshua kila akisafiri lazma nimwambie akirudi aje na 'video' maana hakua maskini na sikupataga nafasi kumuuliza why haleti sabab ya utoto mpaka alipo rest in peace. Nini hasa kilifanya watu wasiwe nazo wakati walikua wanazitamani?

Miaka ya tisini mkuu
 
mi nilipanga nina tv SONY SOPHIA siiku ya mechi inabidi nihamishje sebuleni kwa mwenye nyumba
Mi nakumbuka mtaa mzima palikua
Nimeuliza baada ya kukukumbuka msoto wa kuangalia 'video' enzi zile maana zilikua za kuhesabu sana wakati watu sio kwamba hawakua na hela maana wengi walikua wanamiliki hata magari lakini ikija kwenye tv ilikua kitendawili. Sasa nataka kujua kwa wadau waliomo humu kama kuna anaejua TV kwa miaka ya 80 hadi tisini mwanzoni zilikua bei gani, au ni kwamba zilikua hazipatikani? Maana nakumbuka mi pia nlimsumbuaga sana mshua kila akisafiri lazma nimwambie akirudi aje na 'video' maana hakua maskini na sikupataga nafasi kumuuliza why haleti sabab ya utoto mpaka alipo rest in peace. Nini hasa kilifanya watu wasiwe nazo wakati walikua wanazitamani?
Mi nakumbuka mtaa mzima palikua kuna TV moja tu, tukienda kuangalia TV watoto wote tunakalishwa chini mbele ya TV. Miguu ikiwa michafu hauingii unafukuzwa.
 
Back
Top Bottom