roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,708
- 2,886
Mama wametufunda watanganyika nn maana ya uongozi!!
Uongozi sio kupayuka
Uongozi sio kuonea watu
Uongozi sio upendeleo wa ulikotoka
Uongozi sio kufunga watu bila sababu
Uongozi sio kuuwa watu
Uongozi ni kusikiliza watu
Uongozi sio kukandamiza watu na kuwanyima stahiki zao
Uongozi ni busara na hekima
Asante Mungu Kwa kutuletea huyu mama,Mpe afya Njema atuongoze mpaka 2035