Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,234 Reaction score 68,268 May 28, 2015 #1 Leo ni miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha mmoja wa Wanamuziki bora zaidi kuwahi kutokea katika Bongo Fleva, Albert Mangwea. Mengi yamezungumzwa kuhusu kifo chake, na hakika ameacha pengo kubwa katika muziki huu . Pumzika kwa amani, Albert Mangwea.
Leo ni miaka miwili tangu kutokea kwa kifo cha mmoja wa Wanamuziki bora zaidi kuwahi kutokea katika Bongo Fleva, Albert Mangwea. Mengi yamezungumzwa kuhusu kifo chake, na hakika ameacha pengo kubwa katika muziki huu . Pumzika kwa amani, Albert Mangwea.
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,138 Reaction score 7,398 May 28, 2015 #2 A.K.A MIMI ni balaa hajapata tokea
Hoshea JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,420 Reaction score 3,776 May 28, 2015 #3 Dah! RIP late extra talented soul.
billionea alpha JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 1,442 Reaction score 1,662 May 28, 2015 #4 R.i.p cowboy
Tamalisa JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 2,542 Reaction score 907 May 28, 2015 #5 R.I.P again Mangwea
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,561 May 28, 2015 #6 Pengo lake halina spea,gone too soon lil' hommie.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,786 May 28, 2015 #7 R.I.P Albert
Mkaruka JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 19,933 Reaction score 34,912 May 28, 2015 #8 Mtu akifa misifa kibao.Binadamuu.....(Kanumba&Ngwair).
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,668 Reaction score 7,051 May 28, 2015 #9 R.I.P Mzee wa mikasi.Hivi Cowboy aliacha icon ya mtoto au ndio kama 2pac?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,023 Reaction score 13,370 May 28, 2015 #10 Leo clouds wanapiga ngoma zake tu. Rip albertoooo
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,380 Reaction score 56,078 May 28, 2015 #11 tz hii hatatokea km ngwea nampenda sana jamani
pinno JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,213 Reaction score 1,233 May 28, 2015 #12 Ngwair Ngwair ni the best . Dogo mmoja naona anakitu kama hiki sema hatoki tu na kama huyu dogo asipotoka basi kumpta mtu kama Ngwair tena ndo itakuwa miaka 100
Ngwair Ngwair ni the best . Dogo mmoja naona anakitu kama hiki sema hatoki tu na kama huyu dogo asipotoka basi kumpta mtu kama Ngwair tena ndo itakuwa miaka 100
pinno JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 1,213 Reaction score 1,233 May 28, 2015 #13 IBRAHIM MGAYA said: Mtu akifa misifa kibao.Binadamuu.....(Kanumba&Ngwair). Click to expand... Unapoongea kuhusu Ngwair na Kanumba toa hizo fikra za kuwa ni sifa anazopewa kila marehem. Wangapi wamekufa?? ALBERT WAS ANOTHER PERSON AISEE.
IBRAHIM MGAYA said: Mtu akifa misifa kibao.Binadamuu.....(Kanumba&Ngwair). Click to expand... Unapoongea kuhusu Ngwair na Kanumba toa hizo fikra za kuwa ni sifa anazopewa kila marehem. Wangapi wamekufa?? ALBERT WAS ANOTHER PERSON AISEE.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,639 Aug 3, 2020 #14 Leonard Robert said: A.K.A MIMI ni balaa hajapata tokea Click to expand... Kali sana
Ferruccio Lamborghini JF-Expert Member Joined Apr 15, 2020 Posts 1,667 Reaction score 2,619 May 28, 2021 #15 Pumzika kwa amani Albert Mangwea