Miaka miwili bila kusex

Hapana inawezekana kabisa kule ni kazi mwanzo mwisho, hakuna story hakuna kutega unatoka dayB unarudi usiku hoi kabisa
Mkuu kwamba ndani ya miaka miwili huwezi pata hisia hata kidogo.? Hawapumziki hata kama ni kazi izo.?

Haiwezekani
 
Nilikuwa south katika mafunzo flani hv nilikaaa miaka 3 bila kupata papuch mana muda wote kaz kaz
 
Mkuu hivi unajua kutokufanya mapenzi kwa mapenzi kwa muda kunapelekea hata ufanisi wa kazi nyingine kutokua mzuri, sometimes inapelekea hata mwanaume kuwa na chura.

Unachoongea kinawezekana lakini kwa nini ufanye ivyo.? Oa basi na huo ndio mwanzo wa ubakaji
 
Tafiti hii umeitoa wapi..? Akuna ukweli juu ya hilo ni drama za wazinzi kutaka kutetea uzinzi wao
 
bila shaka naona give na mkono vimechukua nafasi ya mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…