Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,293
- 3,574
Mwehu weweMbege Bei chini kabisa 😂
Pole sana mkuu, kwani unateseka ukiwa wapi? Tatizo lako ni usukuma gang. Kafanye kazi uache kutesekaSerikali yote ni ya CCM,walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli,petroli imepanda bei,sukari imepanda bei,unga umepanda bei,Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei,nyama imepanda bei,n.k
-Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona,ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza,aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu wanakaa kimya,hili ndio tatizo letu,tumekwama.
Serikali yote ni ya CCM,walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli,petroli imepanda bei,sukari imepanda bei,unga umepanda bei,Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei,nyama imepanda bei,n.k
-Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona,ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza,aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu wanakaa kimya,hili ndio tatizo letu,tumekwama.
Hilo Bunge La Hayati Magufuli umelisikia likijadili hata Wizi uliotajwa na CAG??Serikali yote ni ya CCM,walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli,petroli imepanda bei,sukari imepanda bei,unga umepanda bei,Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei,nyama imepanda bei,n.k
-Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona,ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza,aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu wanakaa kimya,hili ndio tatizo letu,tumekwama.
Sababu ni “vita vya urusi na ukraine”🤣Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei, nyama imepanda bei n.k
Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona, ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza, aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu na asali wanakaa kimya, hili ndio tatizo letu, tumekwama.
Wale media yao ineshuka sana hata mishahara ya kulipa wafanya kazi ni mbinde.....so inabdi wawe hivyoAfu Kuna kimidia Cha kichoko kama Clouds FM asee hawa jamaa ni chawa pro... Ningepata Bomu walah ningeenda kulipya hizo studio za kiqumer.
Mwande Chawa uliyeajiriwa😄Tatizo ni nini?
View attachment 2936900
Kumezaliwa wadudu hatari sana wa nguoni!Serikali yote ni ya CCM, walisema wapinzani wanawachelewesha lakini tunajionea wenyewe miaka mitatu ya Rais Samia vitu vyote vimepanda bei mara mbili toka utawala wa Hayati Rais Magufuli, petroli imepanda bei, sukari imepanda bei, unga umepanda bei, Mchele umepanda bei, maharage yamepanda bei, nyama imepanda bei n.k
Tatizo ni nini!?
Magufuli angekuwepo mambo yangekuwa kama alivyotaka yaani bila wapinzani Maendeleo tungeyaona, ila amefariki na project yake hakuna wa kuiendeleza, aliyekuja Mama Samia yeye anaamini uwepo wa Wapinzani wampigie kelele ndio afanye lakini pia yeye ni Mama wakitaka kumpigia kelele anawapa tabasamu na asali wanakaa kimya, hili ndio tatizo letu, tumekwama.
qeebwbhhgggbvvvveerrrrrrrreqeqqq