Miaka mitatu baadae unagundua mtoto si wako

Miaka mitatu baadae unagundua mtoto si wako

Mimi nipo tayari kulea watoto ambao labda nilimkuta nao na baba yao kafariki labda na mimi najua hilo hata ukoo mzima nallea ila nimeoa na akachepuka kiukweli ni NGUMUM. niongee ukweli tu sina moyo huo
 
hii kitu iko sana uchagani ,ila wazee wanalea tu hakuna shida
 
Tukio gani lilokutokea eti mpaka ukamlaani shetani juu ya inshu kama hizi
 
Wahenga Wakikurya waliona mbali sana, mtoto atakae zaliwa nje ya ndoa na mke wake ambae kamtolea mahari uyo ni mwanae halali kabisa,wanamsemo wanasema uyo mtu kaja kumsaidia kulima shamba na kupanda mbegu mwisho wa siku Mazao ni ya mwenye shamba.
 
Mkuu unajua KARMA WEWE? WHAT GOES AROUND COMES AROUND.na ww kama sio mkeo kuchapwa tena akapigwa mapacha basi watoto wako mkuuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mungu aniepushe mbali maana najuta na nalichukia sana hili jambo sikupenda kabisa kuzaa nje ya ndoa maana najua maumivu anayoyapata mtoto ambae anaishi na mzazi mmoja na mwingine yupo sirini
 
Wewe mke wako akizaa nje tena mtoto katoka chotara wa kizungu au wa kiarabu,kichina n.k wewe utalea mkuu? Kwa kuwa mke wa mtoto wako ni wako?
Ndio nitamlea, wewe unapemda nimfanyeje ?
Nimchinje ?
Huyo mtoto hana makosa yoyote, makosa ni ya wewe baba.
Inaynikanaje mke unashinda naye wewe usiku na mchana halafu akuzalie nje.
Hapo wewe Mume una kasoro na unataka kujibaraguza tu.
Mke anapokukubalia umwoe ujue yupo tayari kukuzalia mtoto.
Kama ataamua kughairi na kuamua kuzaa nje tatizo ni lako wewe Mume.
Mke anayempenda mumewe hupenda pia kumzalia mtoto.
Kama huwajibiki kama Mume, Mke atatafuta mume anayewajibika ipasavyo.
Timiza majukumu yako kama Mume.
 
Dah! Ww una moyo wa chuma kikubwa mkuu si huyo mtoto ila shida ni kwa nn achepuke na pili amenificha miaka mitatu DAH INAUMA SANA HII
ukitaka shida iwe raha meza maneno kula banzi kama hujui vile, utalipwa mara mia mbili zaid ya hapo
 
Back
Top Bottom