Huna uchungu wa kutamani kukaa na mwanao?Dah hili linanihusu kabisa kuna mtu anamlea mwanangu akijua ni wakwake ila nimeamua kumwacha maana niliwekwa kama mtego na mke wake aliyekuwa anahangaika kwa miaka miwili kumpatia mumewe mtoto ila sasa kero ni kutaka mm nimhudumie ilhali anajua ni siri
We si kwa wadada wa sikuizi. Mke hata kama anachepuka anatakiwa alinde heshima ya mumewe kwa kutokuzaa nje. Lakin unakuta mke anaenda nje makusudi, anapata mimba huko na kubambikiza kwa mme.Kitanda hakizai haramu.
Mtoto wa mkeo ni wako bila kujari mbegu ya uzazi kaipata kwa nani.
Mke kupata mtoto nje ya ndoa, kosa ni la mumewe na sio la mke.
Mlee mtoto kwani ni mtoto wako aliyezaliwa na mkeo.
Wewe mke wako akizaa nje tena mtoto katoka chotara wa kizungu au wa kiarabu,kichina n.k wewe utalea mkuu? Kwa kuwa mke wa mtoto wako ni wako?Kitanda hakizai haramu.
Mtoto wa mkeo ni wako bila kujari mbegu ya uzazi kaipata kwa nani.
Mke kupata mtoto nje ya ndoa, kosa ni la mumewe na sio la mke.
Mlee mtoto kwani ni mtoto wako aliyezaliwa na mkeo.
Inauma sana hiyo, isikie tu kwa mwenzio.Mkuu mlee tu huyo mtoto
Dah! Ww una moyo wa chuma kikubwa mkuu si huyo mtoto ila shida ni kwa nn achepuke na pili amenificha miaka mitatu DAH INAUMA SANA HIINaendelea kumlea mbona watu wanalea watoto yatima kwani ni wa kwao
Unatetea sio?Hii ndio tofauti ya wanandoa wa sasa na wale wa zamani.Enzi za babu zetu, issue kama hizi zilikuwa zinamalizwa kimya kimya na maisha ya ndoa yaliendelea.
Unamkanaje mtoto ilhali wewe mwenyewe hapo ulipo huna uhakika wa asilimia 100 kuwa unayemwita baba ndiye mzazi wako halali?
Wanaume hatuna mioyo kama hii tukichukia kitu hata uwe kama cleopatra tunakuona mbaya tu.Kuchapiwa ni siri ya ndani, unakuta mke mzuri ukimwangalia tu hasira zinakwisha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bila shaka mkeo katoa kachotara hapoMie hua Mada hizi sizipendiiiiiii🙁🙁🙁.kuna kitu hua kinanijia halafu namlani shetani nasema haya ukimchokonoa sana kuku utashindwa kumla..
Inauma sawa lakini umehudumia mimba toka inaingia na unajua ni wakoInauma sana hiyo, isikie tu kwa mwenzio.
Mkuu unajua KARMA WEWE? WHAT GOES AROUND COMES AROUND.na ww kama sio mkeo kuchapwa tena akapigwa mapacha basi watoto wako mkuuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Dah hili linanihusu kabisa kuna mtu anamlea mwanangu akijua ni wakwake ila nimeamua kumwacha maana niliwekwa kama mtego na mke wake aliyekuwa anahangaika kwa miaka miwili kumpatia mumewe mtoto ila sasa kero ni kutaka mm nimhudumie ilhali anajua ni siri