Majungu haya......asingeshinda vijiji kamaasingekuwa amefanya lolote...........
Kwani Mbunge anawajibika kwa Serikali.!akili ndogo kweli kweli. Kwahyo kazi ya mbunge kwa serikali ni ipi?
Katika jimbo la Rombo ambalo lipo chini ya Romani Selasini wa Chadema, nataka nitaje mambo mawili makubwa ambayo mbunge huyo alikuwa na nafasi ya kuyasukuma ila akashindwa kutokana na kutokuwa makini katika kuishawishi serikali na taasis husika pamoja na mashirika mbalimbali.
1. Mawasiliano ya radio, tv, simu. Minara ya Rombo ipo overloaded na minara ya Kenya ambapo kulipaswa kuwa na minara yenye nguvu kuliko ya Kenya ili watu wa Rombo waweze ku-access mawasiliano toka Tanzania. Alishindwa kushirikiana na serikali pamoja na idara husika kumaliza hilo tatizo.
2. Umeme wa REA.
Sasahivi maeneo mengi hakuna hata nguzo na wengine wamebaki na manguzo baada ya kushindwa kufuatilia huo umeme na kwa wakati kama ilivyo majimbo mengine, jukumu alilowaachia baadhi ya madiwani na watendaji wale ambao vijijini kwao hamna umeme kabisa wafuatilie wenyewe huku wengi wakikwama kwani hawana uelewa wa kutosha kwa kukosa mawasiliano ya vyombo vya habari vya ndani kama radio, tv, magazeti na pia madiwani hao hawana viti kule bungeni.
Matatizo mengine ya maji, uhaba wa ajira n.k yapo sehemu nyingi. Ila kwa kifupi, hajafanya chochote kwa muda wake wa ubunge.
Washaanza kulikumbuka jembe la zamani,
hawataki maben ya saa8, jua li
CCM mnahangaika sana.Kama hawamtaki ni kwanini Evodi Mmanda na viongozi wa CCM wilaya kama akina Mzee Ringia wanampiga fitina na juzi hata kwenye kikao chenu mkarushiana maneno kuwa Urassa ni mamluki Ben Saanane kwenye chama chenu tena mkataka kumfukuza kwenye uongozi na uanachama kwa kumtuhumu kuwa yeye ni Chadema
hizi ni propaganda za kisiasa hazina mashiko.
Kijana nimekusoma vizuri na mawazo yako amabayo kwakweli kama sio mtaalamu na mauelewa wa mawasiliano unaweza dhani kuwa unayosema ni kweli. Tuanzae na suala ala mawasiliano. Mbunge kama mbunge hana uwezo wa kuwaambia Vodacom au Safaricom wafunje mkataba wao ambao unaruhusu mtu mwenye line ya Vodacom Tanzanaia kupata mawasliliano yake kawaida akiwa kenya kupitia huduma ya Safaricom bila kubadilisha line. Hiyo ni huduma nzuri sana kwa wana rombo kwani imesababisha wafanyabiashara kupunguza hasara kwani wanatumia line moja wakiwa Kenya na Tanzania. Pia gharama za uendeshaji wa simu ni ndogo kwani unaweza kujiunga na kifurishi ukiwa Kenya na kupiga simu tanzania ukiwa Kenya kwa gharama moja sawa na aliyeko nyumbani Tanzania. Muungiliano wa mawasiliano unatokea kwani rombo hasa Usseri na Tarakea mitambo ya safaricom iko karibu so inasence ukiwa Tanzania na kukutumia ujumbe wa Karibu Safaricom kenya. Kama hutaki huduma ya Safaricom Kenya ni wewe kuingia kwenye Settings sehemu ya network na kuchagua Vodacom tanzania only na hutaona tena muingiliano wa mawasiliano kutoka Safaricom. Ila kwakuwa wewe ni kilaza wa haya mambo unakuja huku jukwaani nakuandika uongo ambao huwezi kuutetea tofauti na kucreate attention tu. Mimi natokea rombo kama wewe na watu wengi wa kule wanalijua hilo ndo maana hata siku moja hujasikia wakilalamika tofauti na wewe tu. Kumbe hujui maana ya global world. nenda vodacom ulipo watakupa mwongozo wa nini cha kufanya kijana. Sis kule Rombo tuna wazazi na ndugu zetu wengi na tunawapata hewani safi kabisa maana wanachofanya ni settings ya local network kwenye simu zao. wakijisika kutumia safaricom kama vodacom ina tatizo, wanatumia na wakiamua watumie vodacom peke yake ni uamuzi wao. Huoni kama kule rombo kuna baraka kuliko huku sisi tulipo ambapo network ya vodacom ikikata unapack simu ndani?
Kingine ni umeme wa REA> mm niko kanda ya Ziwa na ukilinganisha na rombo kule kuna nafuu maana trans-formas zishafungwa ni utaratibu wa distributions tu umekwama kwasababu ya wizi wa serikali yako ya CCM ambao walitumia hela za REA bila utaratibu na kusababisha kusitishwa kwa huduma ya hela kutoka kwa wafadhili. pia serikali yako sikivu ilitumia hela ambazo zilitengwa na miradi ya REA kwaajili ya kulipa wafanyakazi na kugharamia safari za rais hivyo mfuko wa REA kukwama na kusimama kwa muda. Kila kona wameotesha manguzo hapa tanzania lakini tatizo ni waya na transforma kama ambavyo TANESCO wanalalamika. No research just keep quiet kijana. Tanzania nzima nguzo zimeotehwa lakini hakuna waya kwasababu fedha za REA zimetumika kulipa mishahara na Safari za rais, Kugharamia sherehe za CCM na kampeign ya piga ua katiba ipite badala ya kuwaletea wananchi maendeleo. jaribu kudadavua ndo uje na analysis yako ya uongo kaka. Nakutakia siku njema.
Ndg sirluta jaribu kufatilia vikao vya bunge vilivyopita utapata namna Mh.Selasini alivyohoji na kufuatilia kuhusu simu kukamata na kutumia minara ya Kenya ktk mawasiliano na hata serikali inalijua hilo, kwa hiyo yeye kama mbunge alitimiza wajibu wake tatizo ni serikali imeshindwa kushughulikia tatizo ikidhani inamkomoa Mh Selasini kumbe wanawakomoa wananchi ambao bila aibu watapita kuomba kura wakati wa uchaguzi.
Hilo suala ni kama la Mh. Mnyika ktk jimbo la Ubungo kuhusu suala la maji, Mnyika hajasema nini kuhusu maji ya Ubungo? Serikali haijaambiwa nini na mnyika juu ya maji hayo lkn serikali haitekelezi, wabunge wanaplay part yao utekelezaji ni kazi ya serikali na kuhakikisha wananchi wanapata huduma.
Selasini akigombea tena hapati kura,tuombe uzima.