Asante sana MkuuNawe hongera pia mkuu,
Asante sana Binti MtambuziHongera sn mkuu!
It's "Excellent" kupata Hongera na Baraka zakohongera sana
Asante sana Mkuu. "C'est la vie!, Dasn ist Leben!, Asi es la vida!, ...." Ndio Maisha, Mkuu! wakati mmoja anatambaa, mwengine wanapiga mbio na mwengine anaendea mkongojo. Cha muhimu sote tuko safarini.hongera sana mammamia ni kama jana tu wewe una miaka mitano wengine leo ndio siku ya tano wengine wiki ya tano ndivyo ilivyo...congrats mkuu...
Asante sana Kongosho, nimeshamaliza Kinder sasa ninaanza la kwanza.hongera sana mazahandred
sasa umekua, inabidi uanze shule kabisa.
Asante sana Mkuu, baadae tutakusanyika ku"toast for this"Nashika nafasi hii ajili ya urembaji baadaye ..
Hongera sana kwa sasa
Asante sana. Umetaja watu wakubwa sana. Mungu awabariki wote.Hongera mkuu 5yrs si mchezo,wengine ndio kwanza tuna mwaka 1 na na miezi minne hiv,ila 2008 nilikuwepo sana bongocelebrity na ndio ilikua juu sana kipindi hicho(tulikua na kina hombiz,matty,black manmen,nyani ngabu,eng nlitorela).
I'll drink to that...
Hongera na asante MammaMia kwa kuwa mmoja wa watu nisiochoka kuwasoma humu.
Ntakupiga....
Acha wivu!!
"Siku zinapita, na zikishakupita hazirudi tena"
Hapa miaka imepita, mitano.
Nakumbuka tarehe kama leo, 25 Februari 2008
nilipojiunga na Jambo kama mchezo tu,
baadaye ikaja Jamii Forums, nikaanza kuganda na kuganda.
Sasa JF imekuwa sehemu ya maisha yangu.
Kwa hivyo, badala ya kujipongeza mimi,
ninawapongeza waasisi wa JF,HONGERA!
ninaipongeza JF, HONGERA!
ninawapongeza WANAJF WOTE, HONGERA!
Asante Lizzy. Hata mimi huwa ninafaidika na mawazo yako hapa.I'll drink to that...
Hongera na asante MammaMia kwa kuwa mmoja wa watu nisiochoka kuwasoma humu.
AD Mkuu, kwa nini unamwonea pacha wako?Utasutwa ..
Acha uongo we mwana
Mapacha utawajua tu, usione wanagombana ukajaribu kutia lako.Jaribu ..
Mbavu zenyewe kama betina wa gazeti la Sani .. kimbau mbau ..
Asante sana mara mbili. Unajua uzee tena, nilihesabu kwa vidole (2008, 2009, 2010, 2011, 2012).Hongera..
Hata hivyo ni miaka minne...si mitano... Hongera sana.
Weka na profile yako basi please..
"JF ni Nyumbani kwetu" ni maneno ya Marehemu Mpendwa wetu Regia - R.I.P.kwako wewe jf ni nyumbani hadi akina sie tunafaidi kwa raha zetu kwa kuwakuta wakongwe kama nyie hongera sana mkuu