P PIUS PASTORY Member Joined Aug 22, 2025 Posts 36 Reaction score 18 Sep 3, 2025 #1 Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
Miaka Minne Ya Mama Nyumba 159 za walimu wa shule za msingi zimejengwa katika Mkoa wa Songwe. Ujenzi wa nyumba hizo umewezesha walimu kukaa karibu na shuleni hivyo kutumia muda mwingi kufundisha wanafunzi. #kurayakwanzakwasamia #haijapatakutokea
Joshua Mbezi JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 1,937 Reaction score 4,183 Sep 3, 2025 #2 Kama kweli amewekeza katika elimu kwanini yule dogo mwenye kipaji Cha uhandisi wa barabara kapelekwa St Peter Arusha na sio government school?
Kama kweli amewekeza katika elimu kwanini yule dogo mwenye kipaji Cha uhandisi wa barabara kapelekwa St Peter Arusha na sio government school?