Miaka mingine mitano ya maumivu!

Wakati mkapa anaichukua nji hii, bia ilikuwa tsh 500 kwa chupa,wakat anamdoka aliacha bia tsh 700,kwa maana kwamba bia ilipanda kwa sh 200 kwa kipindi cha miaka 5, leo bia ni tsh 1500 kwa maana hiyo bia imepanda kwa asilimia 100,ukija sukari 600 kwa kilo leo ni sh 1700 - 2000,unga wa mahindi 280 mkapa akiondoka madarakani leo ni 800-100 kwa kilo nyama ilikuwa 2000 leo ni 5500 - 6000 kwa kilo,tusubiri album nyingine ya 5yrs .....
 
Mkuu naona umepatia. Kwanza kabla ya kuunda baraza la mawaziri jamaa lazima aende wiki 2 amerca kupumzika. Akirudi anateua mawaziri na wakuu wa wilaya toka katika kundi la wapiga debe wake akiwemo Flora Mbasha.

Wafanyakazi watakoma kwa kumsumbua kipindi cha kampeni.
 
Back
Top Bottom